Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Word…Wakuu salaam,
Tofauti na mama yako na mke wako wanawake wengine wote achana kujifanya kuwasaidia wanakuchora tu. Wanawake ni viumbe wabinafsi kuliko viumbe wengine wote chini ya mawingu mpaka chini ya bahari. Kuna tofauti ndogo ndogo baina yao ila kwa ujumla package nzima wako sawa wote wabinafsi na hawana shukrani.
Hata umsaidie vipi hua wanaona kama walistahili zaidi na zaidi. Women are takers wanachojua ni kuchukua na kuchukua na kuchukua kisha kuchukua na kuchukua. Uko mahala pa kazi acha kujifanya kuwasaidia jinsia ke hawana shukrani, uko shule ni mwanafunzi soma faulu tengeneza mambo yako achana kujifanya unawasaidia sijui masomo hawana shukrani na wanakuona zoba.
They constantly want, constantly take kwao kila mwanaume wanataka awafanyie jambo 1,2,3 hutakosea ukiwaita malaya wa kuhitaji kufanyiwa favour kama jambo halimuhusu au halimnufaishi yeye hiyo jambo sio muhimu. Ubinafsi ulioota ukurutu.
Narudia mama yako na mke wako wanastahili msaada wako wamekufaa kwa mambo mengi ila hawa kina Ashura ndara ndefu piga chini fanya mambo yako.
Acha ujinga wa kujifanya kutengeneza urafiki na hawa viumbe, urafiki na mwanamke hua ni wakumnufaisha yeye tu na ni watu wa ajabu hata hawajishtukii hawa viumbe wanamapungufu mengi ila hili la ubinafsi na kukosa shukrani nachukizwa nalo sana.
Tangu nilipokua shule nilikua sitaki shobo na hawa viumbe, akiingia 18 natomb.a na kusepa sijengi kibanda ooh "baby baby" sinaga ujinga huo. Nimekua niko kazini na msimamo wangu ni ule ule sitaki shobo na ke, hata watoto wangu (wote madume)
Nawaasa kujali malengo yao na kuacha kujifanya kusaidia wanamake HAWANA SHUKRANI. Kuna wanaume wengi wamekwama na kushindwa kufikia malengo yao kwa kujifanya watakatifu wa kuwasaidia wanawake.
Yes usishangae mama yako mzazi na mkeo wakaungana against youNakubali Mimi Huwa nawaona hivyo
Huwa Kuna kauli napenda kuitumia , mama yangu na mke wangu nawao ni wanawake tu kama wanawake wengine,Yes usishangae mama yako mzazi na mkeo wakaungana against you
Una uhakika gani kuwa kila aliyeoa anakula chakuka cha mkewe? Usikariri.tatizo wamepokelewa vibaya hata wake zao wamewaowa wakaanza na ukatili hapo hapo usitegemee mwanamke atakuvumilia...
Tena kwa ulimwengu huu wa kisasa wa usawa lazima utumie busara zaidi kuliko ubabe.
Unawezaje kuwa mkatili kwa mtu anae kupikia chakula???
Naunga mkono hojaWakuu salaam,
Tofauti na mama yako na mke wako wanawake wengine wote achana kujifanya kuwasaidia wanakuchora tu. Wanawake ni viumbe wabinafsi kuliko viumbe wengine wote chini ya mawingu mpaka chini ya bahari. Kuna tofauti ndogo ndogo baina yao ila kwa ujumla package nzima wako sawa wote wabinafsi na hawana shukrani.
Hata umsaidie vipi hua wanaona kama walistahili zaidi na zaidi. Women are takers wanachojua ni kuchukua na kuchukua na kuchukua kisha kuchukua na kuchukua. Uko mahala pa kazi acha kujifanya kuwasaidia jinsia ke hawana shukrani, uko shule ni mwanafunzi soma faulu tengeneza mambo yako achana kujifanya unawasaidia sijui masomo hawana shukrani na wanakuona zoba.
They constantly want, constantly take kwao kila mwanaume wanataka awafanyie jambo 1,2,3 hutakosea ukiwaita malaya wa kuhitaji kufanyiwa favour kama jambo halimuhusu au halimnufaishi yeye hiyo jambo sio muhimu. Ubinafsi ulioota ukurutu.
Narudia mama yako na mke wako wanastahili msaada wako wamekufaa kwa mambo mengi ila hawa kina Ashura ndara ndefu piga chini fanya mambo yako.
Acha ujinga wa kujifanya kutengeneza urafiki na hawa viumbe, urafiki na mwanamke hua ni wakumnufaisha yeye tu na ni watu wa ajabu hata hawajishtukii hawa viumbe wanamapungufu mengi ila hili la ubinafsi na kukosa shukrani nachukizwa nalo sana.
Tangu nilipokua shule nilikua sitaki shobo na hawa viumbe, akiingia 18 natomb.a na kusepa sijengi kibanda ooh "baby baby" sinaga ujinga huo. Nimekua niko kazini na msimamo wangu ni ule ule sitaki shobo na ke, hata watoto wangu (wote madume)
Nawaasa kujali malengo yao na kuacha kujifanya kusaidia wanamake HAWANA SHUKRANI. Kuna wanaume wengi wamekwama na kushindwa kufikia malengo yao kwa kujifanya watakatifu wa kuwasaidia wanawake.
Mkuu viumbe vimeumbwa kwa udongo tifu tifuSasa si-atafute kazi afanye , Yaani huo utamu mliopeana ndani ya masaa kadhaa ndio anataka aufidie Kwa kumlipia Kodi na bills zinazo husu maisha yake [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hivi viumbe vya ajabu sana smdh [emoji848]
Haka kaugonjwa kameshamiri mno...Leo tu minyege imenishika nikasema NGoja nikasituwe kademu nilikaona kastaarabu kaje tufanyane ebwana muda huohuo kakanipa invoice ya saloon nimekazungusha Huku nikikazungusha na kukapaa ahadi za kesho mzigo utapatikana...
To cut the story short nimelala na nyege zangu...
Ila kupenda sijui mshipa ulishakatika au ni Kwa kuwa dada zetu hawapendeki au wao wanatafuta financial support . Hata Sijui wa humu nilishashindwa kuwaelewa Hasa wa lile jukwa la love connect uongo mtupu lile jukwaa lingefungwa halina uhalisia wowote.
Mpende Mwanao na Mama Yako Tu ...sijui mke sijui girlfriend achana na hizo mambo....
FactWewe ni mmoja kati ya wanawake elfu moja mkuu, Mungu akusimamie usije ukarubuniwa na shetani kwa mara ya pili kama hawa tuliokutana nao
Takers have no shame mkuu, wakilala wakiamka wanawaza kuchukua kuchukua na kuchuakua zaidi kisha kulalamika hawajachukua vya kutosha warudi kuchukua tenaKweli kabisa yani wadada sijui ujasiri wa kuombana hela wanautoa wapi
Takers have no shame mkuu, wakilala wakiamka wanawaza kuchukua kuchukua na kuchuakua zaidi kisha kulalamika hawajachukua vya kutosha warudi kuchukua tenaMleta topic Yuko sahihi kabisa , watakao chukia na wachukie but huu ndio ukweli
Mkuu huyu ufeminism umemzama mpaka kwenye mifupaKuna singo maza hapa amekaza kichwa kama joyce kiria😂😂
Takers have no shame mkuu, wakilala wakiamka wanawaza kuchukua kuchukua na kuchuakua zaidi kisha kulalamika hawajachukua vya kutosha warudi kuchukua tenaSiku akipata mwingine wewe hutaurumiwa,wanakuaga na kejeli na dharau hutaamini.
Panga malengo yako lakini yasihusishe mwanamke,utakuja kulimia meno
Takers have no shame mkuu, wakilala wakiamka wanawaza kuchukua kuchukua na kuchuakua zaidi kisha kulalamika hawajachukua vya kutosha warudi kuchukua tenaAsante, sio hata pole ni kawaida sana lakini kwa kweli mwanamke hana huruma pindi anapomalizana nawe
Takers have no shame mkuu, wakilala wakiamka wanawaza kuchukua kuchukua na kuchuakua zaidi kisha kulalamika hawajachukua vya kutosha warudi kuchukua tenaHawa viumbe ni wa ajabu,hata kwenye uumbaji wa ulimwengu mwanzoni, Mungu hakuwaweka ktk plan yake,ilikuja kutokea baadae sana ndio akaleta mwanamke,na hapo hapo akasema tuishi nao kwa akili
Kisha mambo yakaharibikia hapo 😂🤣😂🤣
Nashukuru mkuu.Bandiko limeeleweka kabisa, mwenye masikio na asikie