kelphin
JF-Expert Member
- Dec 24, 2019
- 9,872
- 16,319
umeongea kwa hasira sana mkuu
Mbal na hasira kaongea kwa uharisia na picha kamili
Hajadanganya kitu Hata kimoja
Inahitaji utulie,uchambue,uhusianishe na maisha kiujumla utamuelewa vizuri
Ni ngumu kujua mtu anawaza nini
Ukisoma visa vya humu utapata picha kamili ya mtoa mada
Leo hi ukimtongoza mdada yoyote ila sio wote japo wengi wao
hana muda na kujua mawazo yako,malengo na mipango yako
Atataka tu kujua una nini(muda huo) unajua Kwann?
Kwasababu fikra yake ni kua navyo ulivyonavyo!
Hapa nilipo ni wilayani
Kuna young boy anamali nyingi sana
Workshop moja ya maana na vitega uchumi vingi
Nyumba za kupangisha kama 4 +gest house
Ila amepanga nyumba moja na mimi
Analipia kodi vyumba viwili!
Hapo workshop back side kuna rooms kari sana kazi tengenezea zipo tu
Nkawa najiuliza kwanin asikae huko na mke wake mpya
Kuna siku tukiwa alone akanisumulia majanga yake
The same ni wanawake hawahawa!
Nanukuu kauli yake “kelphin sijui sikua nnampa nini yule....
Alikua anapewa kila anachokitaka
Nikisema alikua halidhishwi kitandan sipati majibu sababu sikuwahi kumwaga kabla yeye hajasema ameridhika”
Ila bado alikua anachukua fedha na kumpa kijana mwingine!
Ndipo nlijua kumbee!
Tuishi nao kwa akili ila nadhan bible iliwalenga wale mama zetu
Hawa wa sahiv nadhan bible itupe tu kauli nyingine [emoji16]