Nas Jr
JF-Expert Member
- May 15, 2018
- 7,920
- 8,675
UKWELi ni kuwa Mwanaume ukiingia kwenye trap aliyokataza mleta uzi ujue hio ndio itakuwa KADI YA MWALIKO wa umasikini, sonona katika maisha yako...
Na utaingia kwenye trap endapo utajisikia vibaya(get offended) wakikuita bahili, mbinafsi,,mchoyo,,huna huruma,,huna utu,,huna upendo,,sio mwanaume wa kweli,,n.k... Ukisikia hizi kauli unaambiwa na Mwanamke zitafakari sana,, asilimia kubwa huwa ni kwa ajili ya Manipulation...
Ukiona unafanya jambo kwa demu ili kuepuka usiitwe hayo majina basi jua tayari umeingia 18 zao..
Silazimishi mtu kuelewa ila Mazingira yatakuelewesha zaidi.
Be a Man, Stay Taliban.