Fanya yote ila usimzalie mtoto huyo mwanaume!

Binti wa zamani, leo dada, Lamomy naona coment zinafanana.

Kwani UTAYARI unazingatia nini? Au kuwa na UTAYARI kunahitaji vigezo gani?

Mwanamke akiwa kwenye mahusiano kuzaa ni jambo KAWAIDA kama sio la LAZIMA.

Me hapa, japo sijui kama nitabadili mpango wangu, ila nataka nije kuwa na wanawake wawili. Swali linakuja, nitawapata kwa njia ipi?
Jibu linakuja, njia ni moja na ni nzuri na ya uhakika.
Nitawazalisha kwanza wote wawili, bila wao kujua, kisha nawakutanisha naongea nao, mambo yakae sawa, kila mmoja ajue kuna mwenzake. Kazi kwisha.
Na endapo watakubali mpango wangu,basi ndo watakuwa wake zangu milele.

Kwahiyo, kwa mwanamke kuzaa, sidhan kama UTAYARI ndo jambo la muhimu. Ila kuzaa ni LAZIMA kama mwanaume wake atamuoa.

Man...
Sikushauri uzae na mwanamke ambaye humuoi.

Woman...
Kuzaa lazima ila usizae na na mwanaume ambaye hakuoi. Kakini pia,...
ZINGATIA:USIOLEWE NA MWANAUME AMBAYE HAJIELEWI/HANA MWELEKEO MZURI KIMAISHA.
 
Binti wa zamani, leo dada, Lamomy naona coment zinafanana.

Kwani UTAYARI unazingatia nini? Au kuwa na UTAYARI kunahitaji vigezo gani?
Utayari
Ni ile hali ya kubeba mzigo mwingine na uupatie haki zake za misingi mpaka utakapofikisha miaka 21. Bila manunguniko na kutegemea wengine. Usimame kama mama au baba Bora.
Mwanamke akiwa kwenye mahusiano kuzaa ni jambo KAWAIDA kama sio la LAZIMA.
Kuzaa si lazima, hakuna sehemu imeandikwa au Sheria ya kwamba lazima kuzaa.
Ukijiona unaweza kuzaa zaa huwezi acha na si lazima.
Na kuzaa si KAWAIDA!!!! Kwamba kila mtu afanye hiyo KAWAIDA.
Me hapa, japo sijui kama nitabadili mpango wangu, ila nataka nije kuwa na wanawake wawili. Swali linakuja, nitawapata kwa njia ipi?
Hilo ni jambo lako binafsi halinihusu.

Jibu linakuja, njia ni moja na ni nzuri na ya uhakika.
Nitawazalisha kwanza wote wawili, bila wao kujua, kisha nawakutanisha naongea nao, mambo yakae sawa, kila mmoja ajue kuna mwenzake. Kazi kwisha.
Mipango yako endelea kuippigania upate wanaoendana na ndoto zako

MiNa endapo watakubali mpango wangu,basi ndo watakuwa wake zangu milele.
Sawa
Kwahiyo, kwa mwanamke kuzaa, sidhan kama UTAYARI ndo jambo la muhimu. Ila kuzaa ni LAZIMA kama mwanaume wake atamuoa.
Mwanamke ndiye mtu anaepaswa kuwa tayari kuhusu kuzaa hata kama ameolewa.
Ndoa si kigezi cha kuzaa.... Kuna mashetani wanaume wengi wamejificha kwenye kichaka cha ndoa kuhalalisha ubaradhuri wao.
Na kwa sasa unaona kesi za taraka ni nyingi kwa sababu wanawake wameamka!!!!! Hawahitaji kuvumilia ushetani kwa jina la ndoa.
Man...
Sikushauri uzae na mwanamke ambaye humuoi.

Woman...
Kuzaa lazima ila usizae na na mwanaume ambaye hakuoi. Kakini pia,...
ZINGATIA:USIOLEWE NA MWANAUME AMBAYE HAJIELEWI/HANA MWELEKEO M
 
Kila nikisoma hii comment yako, huwa nafurahi sana mkuu.
 
Ghetto kama stoo ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚
Kuna wanaume wanajichetuaga sana wanipate kichaa mimi!
Kuna siku utajichanganya, wakufungulie mijadala
Nilijisikia vibaya sana! Wanabebanaga ujinga ndiomaana wanasema tumewazidi akili! Mtoa mada nahisi sukari ilipanda maana hakutegemea! Halafu nyuzi hata haiwahusu wao ni kuchangia ushuzi tu!
Maskini, I hope mtoa mada hakuwachukulia kwa uzito!
Kama huyo fala namuonaga anavyojichetua tu kuhusu wanawake wakati nakajua kamke kake hakana hata hayo maajabu anayojisheuaga nayo!
Na mimi nakajua, nilikakuta huko kwenye mtandao flani na katoto kao ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Nawajua miaka! Ukiviona barabarani kama vitapeli! Ila ndio hivyo kuvimbiana jf
Wanapunguza machungu maana maisha yao wanayajua wenyewe ๐Ÿ˜‚

usinichekeshe basi mi mbavu sina huku๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… itakua vimekondeana eeh
Vimepaukiana ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Yani ukizaa na mwanaume ndio unamuona shetani liveโ€ฆ
Ukijichanganya kwa mwanaume wa hovyo, hakuna rangi utaacha kuiona.

Daaaaaah
We ni wa kunijibu hvo?
Am speechless
Nina mimba changa ya uzeeni, tuvumiliane tu, mwaka utakuwa mrefu sana huu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ