Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,865
- 58,677
Hauchoki na hii mijimama mwanangu?🤣🤣🤣🤣🤣 daaah
Ujue nini..
Kesho asbhi kuna maza anakuja getto ..
Huyu maza namkanda kesho najua nikisha muonjesha tuu atataka kila alhamis utamu anyway mi takula tuuu kila day..
Mbele za watu tunaitana kaka na dada ila deep down anataka....
Kuhusu ushauri wako kwa vijana ni kweli kabisa aiseeee wasiwazalie hiyo haitakiwi
Dkt. Gwajima D MamndenyiCc:
Wanawake wa JF:
waifu material * Mallerina
Atoto * Sister Abigail
realMamy ⋆ Qashy Lilith⋆ To yeye
Msweet ⋆ Chujio * Palina
Anastasia21 * ledada ⋆ Carleen * Midekoo
Mama Mwana * Hornet
SweetyCandy ⋆ Ellerie Bexley
Donatila *Jackcharty * Kelsea * Braying * Mrs Byesige
Kama wewe tu!Tatizo wanawake hawanaga akili
Sichoki hata kidogo...Hauchoki na hii mijimama mwanangu?
Utafukuzwa manispaa ukaishi halmashauri ya mji mdogo Malampaka kwa kujibizana na mstahiki meya.Kama wewe tu!
Kuhusu kumgawia mtu-mke mimba?Inasikitisha sana
Ndio mkuuKuhusu kumgawia mtu-mke mimba?
Mimi sio mwanamke. Ila wanawake asilimia kubwa hawanaga akili. Utakuta mtu anasoma anabeba mimba utafikiri alishikiwa au maisha yake hayaeleweki anapigwa mimba anarudi kwa wazazi wake, au hajawahi kushika hata 50000 aliyoifanyia kazi yeye afu anataka kuwa na familia. Haya yote yamesabisha wanawake wengi kuwa maskini au kuzaa hovyo.Kama wewe tu!
Ndoa haiwezi kumzuia mwanaume fedhuli. Ila ndoa inakupa utambulisho rasmi na msaada zaidi pale linapotokea tatizo tofauti kabisa na ukiwa peke yako na mmekutana na huyo mzazi mwenzako huko vichochoroni mkazalishana.Wanawake sijui huwa mna akili za namna gani asee, sasa wewe unaona ndoa ndio kitu kinachoweza kumzuia mwanaume fedhuli asiyejali majukumu yake kukuletea mapicha picha hapo mbele??!!!
Umeoa wanawake wote duniani ukaona wako hivyo?No wonder mkiingia kwenye ndoa huwa mnaanza kuota mapembe kwa kuona mmemaliza yote, na hapa ndio wanaume na sisi tunawonyesha kuwa huu mchezo hauhitaji hasira.
Hongera kwa uamuzi wako!Hapa ndio huwa naona nilichukua uamuzi sahihi wakuachana na masuala ya kutaka kuoa, kuoa kwa enzi hizi ni sawa na kufuga kijini kidogo ndani yako kinacho kuangamiza taratibu.
Utakufa tu bwashee, upende usipende.Unaingia kwenye ndoa na mtua anayewaza 'Je ukifariki' huu ni ushetani wa hali ya juu sana
Kila mtaa ma single mother yamejaa, kila binti na begi lake hawaoni hata aibu! Unakuta mabinti mama ntilie kibanda kimoja wako hata sita kila mmoja na mtoto anahangaika nae wachafu kweli. Hakuna hata mwenye mwanaume wa kumsaidia hela ya matunzo, wamebaki kutembea na wazee wapate chochote!Hawa wanaume wa siku hizi ni .......................................................... (wape jina unalofikiri na linawafaa).
Mabinti, hasa nyie wadogo wa alfu mbili, hata akuambiaje, Usijichanganye kumzalia mtoto.
- Hakuna jukumu kubwa kwenye maisha zaidi ya kuzaa na kulea watoto. Mwanaume akikuambia bado hayuko tayari kukuoa ila anataka umzalie, huyo ni tapeli kama matapeli wengine tu.
- Kama hajaja kwenu kukuchumbia, hajakuoa usizae kiholela. Na ukiolewa, hakikisha una shughuli ya kiuchumi ya kukuwezesha kuhudumia watoto wako ikitokea amefariki, amekutelekeza au mmeachana.
- Mapenzi kunoga na ahadi za kukuoa siyo sababu ya kubeba tumbo hilo. Wanaume wasio wababaifu, wenye kujua nafasi yao kwenye malezi wamebaki wachache sana ni kama bahati nasibu (Rejea hoja No 1 & 2).
- Tumia uzazi wa mpango kuepuka mimba zisizotarajiwa kama hutaki basi tumia Kalenda au Condom (Kama hujui namna ya kujikinga kwa kutumia kalenda njoo hapa wamama tukusaidie na tukuelimishe.)
Ukitaka kujua huyo baba watoto wako mtarajiwa atakuwaje mkikosana na mna mtoto nenda kasome replies za wababa kwenye uzi wa jana wa waziri Dkt. Gwajima D - Jamii tuzungumze kuhusu baadhi ya wababa na matunzo kwa watoto - humo wamefunguka bila kuficha makucha yao.
Usiwe kama kenge mpaka uvuje damu ndiyo usikie - USIMZALIE BILA NDOA au UHAKIKA WA KUWEZA KUHUDUMIA MWANAO PEKE YAKO BILA YEYE.
Ni hayo tu, siku njema kwenu!
********
Naomba mtoe neno kwenye hili Lamomy , Leejay49 , nakwede97 , Demi , Aaliyyah , Mamndenyi , Bantu Lady , Ms R , leo dada , Numbisa , cocochanel , cocastic , Evelyn Salt , ephen_
Afadhali ili kesi ziishe mahakamani.Tunawekwa kwenye ndoa,tunazaa afu tunamwagwa😂😂apo kifupi tusizae kabisa,,sai hata izo ndoa ni prakatatumbaaa.
Sijasema ndoa ndiyo suluhisho, nenda karudie kusoma tena uzi wangu.Kama mtoa mada, yeye anaona ndoa ndio suluhisho la hayo yote
mtu azae akiamua tu si kwaajili ya mtuAfadhali ili kesi ziishe mahakamani.
Acha kiwalambe maana wengine vichwa ngumu mpaka yawakute ndiyo wasikie.Ambao sio masingo Maza bado hapa hawatakuelewa watakuambia punguza ushauri