Fanyeni kazi vijana hela zipo nje nje ukifanya kazi. Acheni ngonjera eti kuna serikali ya kuwajazia pesa mifukoni

deblabant

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2022
Posts
2,650
Reaction score
4,065
Vijana ni kama wamewehuka hasa kwa sasa wamebaki wanasubuli tu mwabukusi amesema nini leo ili iwe topic siku nzima

Hawajui kuwa selikali inaweza kuamua kulifuta hata hili li TLS likizingua
 
Limezingua nini au kwa vile limeuliza watu wanaopotea? Omba apotee ndugu yako
 
Vijana ni kama wamewehuka hasa kwa sasa wamebaki wanasubuli tu mwabukusi amesema nini leo ili iwe topic siku nzima

Hawajui kuwa selikali inaweza kuamua kulifuta hata hili li TLS likizingua
Mungu akikubless ukatoboa hapa duniani usijione mjanja ukadhani kuwa ww ni bora kuliko wengine....kila mtu ana wakati wake mkuu na ukumbuke kuwa maisha yanaweza geuka tu within seconds wewe uliyejuu ukashuka chini na aliyechini akapanda juu.

Mshukuru Mungu kisha uendelee kukaza buti uzidi kusonga mbele zaidi ya hapo na uwaombee na kuwasaidia ndugu, jamaa na marafiki pia pale wanapohitaji msaada uliyochini ya uwezo wako.

Enjoy life and stay low key.
 
Kwani siwezi kufanya na kuikosoa serikali? Hivi vitu haviko mutually exclusive
 
Vijana ni kama wamewehuka hasa kwa sasa wamebaki wanasubuli tu mwabukusi amesema nini leo ili iwe topic siku nzima

Hawajui kuwa selikali inaweza kuamua kulifuta hata hili li TLS likizingua
TLS haipo hapo kama hisani muwe mnaenda shule kwanza , we mwenyewe kazi imekushinda umeamua kuwa chawa ,au uchawa nayo ni kazi?
 
Vijana ni kama wamewehuka hasa kwa sasa wamebaki wanasubuli tu mwabukusi amesema nini leo ili iwe topic siku nzima

Hawajui kuwa selikali inaweza kuamua kulifuta hata hili li TLS likizingua
naomba nirushie buku mkuu
 
Back
Top Bottom