FANYENI MAPENZI SALAMA LEO MWISHO WA MWAKA HUU2024 , ILI KUANZA MWAKA MPYA 2025 KESHO BILA UTI, GONORRHEA, KASWENDE AU UKIMWI.

FANYENI MAPENZI SALAMA LEO MWISHO WA MWAKA HUU2024 , ILI KUANZA MWAKA MPYA 2025 KESHO BILA UTI, GONORRHEA, KASWENDE AU UKIMWI.

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
Anza mwaka mpya 2025 ukiwa na furaha ya afya njema na sio kuchota maradhi kwa ngono zembe.

Jizuie na ngono nzembe kuepuka magonjwa ya zinaa ya fedheha kama vile UTI Sugu, gono, kaswende au ukimwi.

kwa wewe mwenye UTI au gono, jitibu kwanza na umalize dozi, acha kuambukiza wengine kwa tamaa na makusudi. huo sio ungwana.

Nawatakia wadau wote wa jukwaa hili heri ya mwaka mpya 2025.

Neema na Baraka za Mungu ziambatane na kuandamana nasi sote kwa mwaka mpya ujao, tupendane na kuheshimiana licha ya kutofautiana maoni na mitazamo dhidi ya mambo kadha wa kadha. Kama binadamu hatulingani na wala hatufanani.

Happy New Year2025 in advance Family 🎉 🎉
 
Back
Top Bottom