Faraja: Matokeo Ya Ufugaji Wa Kuku

Faraja: Matokeo Ya Ufugaji Wa Kuku

Safi sana. Binafsi navutiwa sana na hii project ya ufugaji wa Kuku. Nakutakia mafanikio zaidi

Shukran Sana Ndugu!
Ninapata faraja sana nikiona watu wananipa mimi na wajasiriamali wenzangu moyo kwa kazi tunazo jitahidi kuthubutu na kufanya.

Shukran sana!
 
hongera sana mkuu natumaini kuku amepona mguu tayari? Keep it up
 
Mi nilianza kufuga mwezi wa tano mwaka huu nikiwa na majike 8 na jogoo 1. Kwa sasa nina kuku 63 na majike matatu wanalalia jumla ya mayai 38 natarajia kupata vifaranga vipya mwezi ujao mapema. Nina plan ya kufikisha kuku 200 by December. Eneo no dogo so nina plan ya kununua ekari 2 nipanue business. Siri ya kuwa na kuku wengi ni kuwanyang'anya vifaranga majike wanaototoa kwa pamoja na kuwatia jela siku mbili wakitoka huko ni msosi tu. Baada ya wiki 2 anaanza kazi tena.
 
Ahsante Mama Joe Kuku alipona na mwingine alikua anachechemea jana ila naona yupo sawa leo, nadhani huyu wa jana alipigana na mwenzie maana leo yupo sawa.
 
Mi nilianza kufuga mwezi wa tano mwaka huu nikiwa na majike 8 na jogoo 1. Kwa sasa nina kuku 63 na majike matatu wanalalia jumla ya mayai 38 natarajia kupata vifaranga vipya mwezi ujao mapema. Nina plan ya kufikisha kuku 200 by December. Eneo no dogo so nina plan ya kununua ekari 2 nipanue business. Siri ya kuwa na kuku wengi ni kuwanyang'anya vifaranga majike wanaototoa kwa pamoja na kuwatia jela siku mbili wakitoka huko ni msosi tu. Baada ya wiki 2 anaanza kazi tena.

Nitajitahidi mpaka mwishoni mwa mwezi ujao nitngeneze banda dogo kwa ajili ya vifaranga maana wadau wengi wamenishauri hivyo mkuu. lakini namimi nina plan kama yako ya kununua shamba kwa ajili ya shughuli zangu za ufugaji.

Shukran Mkuu kwa kushare uzoefu wako, nakutakia mafanikio katika kila ulilopanga Ndugu.
 
Kuku wana hasira unavyowanyima mayai wakisusa kutaga tegemea kupata mayai kiduuuchuuu
 
kulea vifaranga wala si tatizo. kwahao kuku wako banda la bati 3 za mita 3 au 2.5 litakutosha. PM namba yako nikuelekeze cha kufanya dhidi ya vifaranga na kama utakuwa karibu na nilipo naweza kukutumia kitabu (bule) bila malipo nilicho toa SUA
Sorry mkuu, kama hutojali unaweza kunitumia na mie kitabu hicho kama ni softcopy kwa email yangu mkuu??

asigwa@gmail.com
 
Nitajitahidi mpaka mwishoni mwa mwezi ujao nitngeneze banda dogo kwa ajili ya vifaranga maana wadau wengi wamenishauri hivyo mkuu. lakini namimi nina plan kama yako ya kununua shamba kwa ajili ya shughuli zangu za ufugaji.

Shukran Mkuu kwa kushare uzoefu wako, nakutakia mafanikio katika kila ulilopanga Ndugu.

Asante mkuu
 
Kuku wana hasira unavyowanyima mayai wakisusa kutaga tegemea kupata mayai kiduuuchuuu

Mkuu mi siwabembelezi kabisa kuku kwa sababu nimeamua ni business. Kuna bike mmoja alikuwa analalia mayai 18 sasa simu ya 17 akashinda nje, mie namwangalia tu. Nikamwambia wife chemsha maji. Ikafika saa kumi na mbili nikamkimbiza kwa hasira nikamkata kichwa kikawa kitoweo saafi.

Sasa upande wa pili nikaanza kupiga dili nafanyaje....nikakamata box la viroba vya konyagi nikashindilia maranda nikaweka mayai yote. Nikamkimbiza jike mwingine kwa hasira kwelikweli, na mabuti nakumbuka alikula. Nikamkamata nikamuweka ndani ya box kisha nikafunga na gundi. Mayai yake, yalikuwa 7 nikayaweka kwa jike mmoja alikuwa na mayai 10. Nimemfungia hadi siku ya tatu nikaanza kusikia chwiichwiii...kutoa vifaranga wote kaangua.

Nikambeba nikampa maji na tikiti nusu na msosi kisha nikamwendea yule was mayai 17 ambapo sasa alifikisha 19 nikamfukuza na nikamuweka huyu aliyetoka jela. Akalalia. Huyu sasa aliyefukuzwa nikamtia tena jela siku mbili katoka hana muda na mayai tena. Hapa naposema ndo kati ya wale ninaotazamia mwezi ujao atatotoa.

Vifaranga wako OK kabisa sema walinipa jambajamba maana ikawa bajeti ya kerosine ipo juu, wanataka joto wale. Leo kunguru kamkamata mmoja nimefoka balaa hom hapakaliki nataka kifaranga wangu. Wife kasema kesho analeta jike mmoja.

Kwenye business mie sitaki utani, na kuku wangu wanalijua hilo. Jogoo wangu juzi alitaka kuwa kitoweo baada ya kutoonyesha umahili wa kuwashugulikia matetea, wife kama kawaida nikamwambia bandika maji jikoni, bahati nzuri nikamuona kachachamaa anapanda fastafasta...sitaki uhuni mie.
 
Duh! Umenfanya nicheke but in shaa Allah nami nikianza ufugaji nitafuata discipline hii

Mkuu mi siwabembelezi kabisa kuku kwa sababu nimeamua ni business. Kuna bike mmoja alikuwa analalia mayai 18 sasa simu ya 17 akashinda nje, mie namwangalia tu. Nikamwambia wife chemsha maji. Ikafika saa kumi na mbili nikamkimbiza kwa hasira nikamkata kichwa kikawa kitoweo saafi.

Sasa upande wa pili nikaanza kupiga dili nafanyaje....nikakamata box la viroba vya konyagi nikashindilia maranda nikaweka mayai yote. Nikamkimbiza jike mwingine kwa hasira kwelikweli, na mabuti nakumbuka alikula. Nikamkamata nikamuweka ndani ya box kisha nikafunga na gundi. Mayai yake, yalikuwa 7 nikayaweka kwa jike mmoja alikuwa na mayai 10. Nimemfungia hadi siku ya tatu nikaanza kusikia chwiichwiii...kutoa vifaranga wote kaangua.

Nikambeba nikampa maji na tikiti nusu na msosi kisha nikamwendea yule was mayai 17 ambapo sasa alifikisha 19 nikamfukuza na nikamuweka huyu aliyetoka jela. Akalalia. Huyu sasa aliyefukuzwa nikamtia tena jela siku mbili katoka hana muda na mayai tena. Hapa naposema ndo kati ya wale ninaotazamia mwezi ujao atatotoa.

Vifaranga wako OK kabisa sema walinipa jambajamba maana ikawa bajeti ya kerosine ipo juu, wanataka joto wale. Leo kunguru kamkamata mmoja nimefoka balaa hom hapakaliki nataka kifaranga wangu. Wife kasema kesho analeta jike mmoja.

Kwenye business mie sitaki utani, na kuku wangu wanalijua hilo. Jogoo wangu juzi alitaka kuwa kitoweo baada ya kutoonyesha umahili wa kuwashugulikia matetea, wife kama kawaida nikamwambia bandika maji jikoni, bahati nzuri nikamuona kachachamaa anapanda fastafasta...sitaki uhuni mie.
 
kulea vifaranga wala si tatizo. kwahao kuku wako banda la bati 3 za mita 3 au 2.5 litakutosha. PM namba yako nikuelekeze cha kufanya dhidi ya vifaranga na kama utakuwa karibu na nilipo naweza kukutumia kitabu (bule) bila malipo nilicho toa SUA

Mkuu naomba hiyo softcopy kwa jonmatiku@gmail.com
 
Mkuu pH 7 kama hujapata suluhu ya tatizo lako la mguu wa kuku..jaribu kwenda nae katika duka la madawa ya mifugo ikiwa ni ugonjwa watakushauri cha kufanya.
 
kulea vifaranga wala si tatizo. kwahao kuku wako banda la bati 3 za mita 3 au 2.5 litakutosha. PM namba yako nikuelekeze cha kufanya dhidi ya vifaranga na kama utakuwa karibu na nilipo naweza kukutumia kitabu (bule) bila malipo nilicho toa SUA

Mkuu kwanini usishee hapa hapa huo ujuzi wa kulea vifaranga ili na wengine tujifunze?

Tafadhali weka hapa bana..kwa faida ya wengi. Natanguliza shukrani.
 
Mkuu mi siwabembelezi kabisa kuku kwa sababu nimeamua ni business. Kuna bike mmoja alikuwa analalia mayai 18 sasa simu ya 17 akashinda nje, mie namwangalia tu. Nikamwambia wife chemsha maji. Ikafika saa kumi na mbili nikamkimbiza kwa hasira nikamkata kichwa kikawa kitoweo saafi.Sasa upande wa pili nikaanza kupiga dili nafanyaje....nikakamata box la viroba vya konyagi nikashindilia maranda nikaweka mayai yote. Nikamkimbiza jike mwingine kwa hasira kwelikweli, na mabuti nakumbuka alikula. Nikamkamata nikamuweka ndani ya box kisha nikafunga na gundi. Mayai yake, yalikuwa 7 nikayaweka kwa jike mmoja alikuwa na mayai 10. Nimemfungia hadi siku ya tatu nikaanza kusikia chwiichwiii...kutoa vifaranga wote kaangua.Nikambeba nikampa maji na tikiti nusu na msosi kisha nikamwendea yule was mayai 17 ambapo sasa alifikisha 19 nikamfukuza na nikamuweka huyu aliyetoka jela. Akalalia. Huyu sasa aliyefukuzwa nikamtia tena jela siku mbili katoka hana muda na mayai tena. Hapa naposema ndo kati ya wale ninaotazamia mwezi ujao atatotoa.Vifaranga wako OK kabisa sema walinipa jambajamba maana ikawa bajeti ya kerosine ipo juu, wanataka joto wale. Leo kunguru kamkamata mmoja nimefoka balaa hom hapakaliki nataka kifaranga wangu. Wife kasema kesho analeta jike mmoja.Kwenye business mie sitaki utani, na kuku wangu wanalijua hilo. Jogoo wangu juzi alitaka kuwa kitoweo baada ya kutoonyesha umahili wa kuwashugulikia matetea, wife kama kawaida nikamwambia bandika maji jikoni, bahati nzuri nikamuona kachachamaa anapanda fastafasta...sitaki uhuni mie.
Kaka Mkubwa umenifurahisha sana, hongera sana ndugu.
 
Back
Top Bottom