Imeteka mkoa mmoja tu kama kigoma basi sio Nchi nzima.Bado naendelea kujifunza inakuaje nchi ndogo kama Rwanda inaizidi nguvu Congo
Kwa kifupi, Goma ipo chini ya ulinzi wa M23🥺🥺🥺Baada ya ultimatum ya masaa 48 lililopewa jeshi la DRC kuweka siraha chini, likagoma, hatimae ziwa Kivu lilifungwa pia. Hivyo kuingia au Kutoka Goma ikawa ndo haiwezekani tena, maana na mipaka ya ardhini ilifungwa.
Jeshi la serikali lilitii amri na kupelekea siraha MONUSCO, huku wao wakijikabidhi mikononi mwa waasi wa M23.
Kwa kifupi, Goma ipo chini ya ulinzi wa M23
Ukubwa wa pua sio wingi wa makamasiBado naendelea kujifunza inakuaje nchi ndogo kama Rwanda inaizidi nguvu Congo
Huo mstari wa mwisho,umemaliza kila kitu mkuu na ndio source ya matatizo ya huko DRCImeteka mkoa mmoja tu kama kigoma basi sio Nchi nzima.
Mabeberu pia wana mkono wao apo
Lakini nguvu za kijeshi haziendani na ukubwa wa nchi. Waisrael huko waliko wanasumbua nchi nyingi za kiarabu katika mapigano ya kivita. Kumbuka "ukubwa wa pua, si wingi wa kamasi".Bado naendelea kujifunza inakuaje nchi ndogo kama Rwanda inaizidi nguvu Congo
Israel hasumbui bali anapewa silaha,mbinu,Fedha na kila kitu na US na mataifa ya Europe,Israel ndio nchi inayoongoza Duniani kwa kupewa misaada na US,Lakini nguvu za kijeshi haziendani na ukubwa wa nchi. Waisrael huko waliko wanasumbua nchi nyingi za kiarabu katika mapigano ya kivita. Kumbuka "ukubwa wa pua, si wingi wa kamasi".
Bila Marekani hakuna IsraelLakini nguvu za kijeshi haziendani na ukubwa wa nchi. Waisrael huko waliko wanasumbua nchi nyingi za kiarabu katika mapigano ya kivita. Kumbuka "ukubwa wa pua, si wingi wa kamasi".
Ni hao hao pia huwapa "siraha" M23 kwa nia ovu. Wanagombea madini adimu yanayopatikana sehemu hizo. Wanajua wakichukua nchi basi watapata nafasi ya kuweka mirija yao na kufyonza utajiri wa DRC.Bila Marekani hakuna Israel
Fatilia mitandaoni kiasi Cha siraha kilichopelekwa Israel, wanajeshi wa Marekani ndani ya Israel na msaada wa anga.
Sema Goma inatawaliwa na M23Kwa kifupi, Goma ipo chini ya ulinzi wa M23🥺🥺🥺
Fake news,leta source ya uongo wako
SilahaBaada ya ultimatum ya masaa 48 lililopewa jeshi la DRC kuweka siraha chini, likagoma, hatimae ziwa Kivu lilifungwa pia. Hivyo kuingia au Kutoka Goma ikawa ndo haiwezekani tena, maana na mipaka ya ardhini ilifungwa.
Jeshi la serikali lilitii amri na kupelekea siraha MONUSCO, huku wao wakijikabidhi mikononi mwa waasi wa M23.
Kwa kifupi, Goma ipo chini ya ulinzi wa M23
Kabisa maana kipigo inachotoa Israel kwa waarabu wapo hoi kinyama. Si Hamas, Hizbullah wala Syria ambako Assad kwa aibu amekimbia. Iran mpaka sasa inafikiria italipizaje kile kipigo cha mademu kutoka Israel ambao walienda chakaza viwanda vyao vya silaha. Wapo kimya kama si wao.... HAPO NILISEMA MIMI KUWATUKANA ISRAEL BASI. NIME SURRENDER MAANA HAWA JAMAA NI LEVEL ZA JUU SANA.Lakini nguvu za kijeshi haziendani na ukubwa wa nchi. Waisrael huko waliko wanasumbua nchi nyingi za kiarabu katika mapigano ya kivita. Kumbuka "ukubwa wa pua, si wingi wa kamasi".