FARDC waweka siraha chini

FARDC waweka siraha chini

Twin_Kids

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2016
Posts
3,692
Reaction score
5,647
Baada ya ultimatum ya masaa 48 lililopewa jeshi la DRC kuweka siraha chini, likagoma, hatimae ziwa Kivu lilifungwa pia. Hivyo kuingia au Kutoka Goma ikawa ndo haiwezekani tena, maana na mipaka ya ardhini ilifungwa.
Jeshi la serikali lilitii amri na kupelekea siraha MONUSCO, huku wao wakijikabidhi mikononi mwa waasi wa M23.

Kwa kifupi, Goma ipo chini ya ulinzi wa M23
 
Kwa kifupi, Goma ipo chini ya ulinzi wa M23🥺🥺🥺
 
Lakini nguvu za kijeshi haziendani na ukubwa wa nchi. Waisrael huko waliko wanasumbua nchi nyingi za kiarabu katika mapigano ya kivita. Kumbuka "ukubwa wa pua, si wingi wa kamasi".
Israel hasumbui bali anapewa silaha,mbinu,Fedha na kila kitu na US na mataifa ya Europe,Israel ndio nchi inayoongoza Duniani kwa kupewa misaada na US,

Israel yeye kama yeye hakuna kitu,

Halafu Israel kapigana na nchi gani ya kiarabu? Gaza tu anapigana na kikundi kidogo ambacho kimefungiwa kila kitu ila wamemtoa kamasi,mpaka viongozi wa jeshi ma mawaziri wake wanajiuzuru mmoja mmoja.
 
Lakini nguvu za kijeshi haziendani na ukubwa wa nchi. Waisrael huko waliko wanasumbua nchi nyingi za kiarabu katika mapigano ya kivita. Kumbuka "ukubwa wa pua, si wingi wa kamasi".
Bila Marekani hakuna Israel
Fatilia mitandaoni kiasi Cha siraha kilichopelekwa Israel, wanajeshi wa Marekani ndani ya Israel na msaada wa anga.
 
Ni hao hao pia huwapa "siraha" M23 kwa nia ovu. Wanagombea madini adimu yanayopatikana sehemu hizo. Wanajua wakichukua nchi basi watapata nafasi ya kuweka mirija yao na kufyonza utajiri wa DRC.
 
Baada ya ultimatum ya masaa 48 lililopewa jeshi la DRC kuweka siraha chini, likagoma, hatimae ziwa Kivu lilifungwa pia. Hivyo kuingia au Kutoka Goma ikawa ndo haiwezekani tena, maana na mipaka ya ardhini ilifungwa.
Jeshi la serikali lilitii amri na kupelekea siraha MONUSCO, huku wao wakijikabidhi mikononi mwa waasi wa M23.

Kwa kifupi, Goma ipo chini ya ulinzi wa M23
Silaha
 
Lakini nguvu za kijeshi haziendani na ukubwa wa nchi. Waisrael huko waliko wanasumbua nchi nyingi za kiarabu katika mapigano ya kivita. Kumbuka "ukubwa wa pua, si wingi wa kamasi".
Kabisa maana kipigo inachotoa Israel kwa waarabu wapo hoi kinyama. Si Hamas, Hizbullah wala Syria ambako Assad kwa aibu amekimbia. Iran mpaka sasa inafikiria italipizaje kile kipigo cha mademu kutoka Israel ambao walienda chakaza viwanda vyao vya silaha. Wapo kimya kama si wao.... HAPO NILISEMA MIMI KUWATUKANA ISRAEL BASI. NIME SURRENDER MAANA HAWA JAMAA NI LEVEL ZA JUU SANA.
 
Back
Top Bottom