FARDC waweka siraha chini

FARDC waweka siraha chini

Kuna mahali nilicomment kwamba Mimi naona bora hao M23 waipindue serikari yote ya congo kisha watawale wao watu hawakunielewa!

Naludia Tena kusema: kwa udhaifu huu wa jeshi na serikali ya Congo ni dhahiri wameshindwa kuwalinda watu wao na kuleta usalama, sasa ni Bora nchi iongozwe na jeshi lenye nguvu ambalo ndio hao M23 na hapo ndio amani itapatkana. Kiukweli waasi wana nguvu karibia mara mbili ya serikali ya Congo kwa mujibu wa habari tunazozipata.

Wapewe nchi waasi maana wameonesha wao ni imara kuriko serikali ya Congo.
 
Bila Marekani hakuna Israel
Fatilia mitandaoni kiasi Cha siraha kilichopelekwa Israel, wanajeshi wa Marekani ndani ya Israel na msaada wa anga.
Kwahiyo anaopigana na Israel wao wana silaha zao wenyewe wanaunda? Tumia akili japo ndogo..

Silaha anaumda Israel mwenyewe na Silaha za waarabu wanazonunua kivita Israel anashinda asubuhi tu...

Israel alikuwa anatengeneza kila silaha hadi nuke" ipo hapa" makampuni yamenunuliwa na mmarekani mengine ubiya.. so Israel anatumia chake.. na sasa keshaanza kufyatua mabomu ya 2000ton ambayo yanaogopewa sana..

Ukisema msaada bila marekani si mbaya ila Israel anaweza kupigana bila mmarekani.. and jua Jews ndio matajiri wa Marekani na europa
 
Kuna mahali nilicomment kwamba Mimi naona bora hao M23 waipindue serikari yote ya congo kisha watawale wao watu hawakunielewa!

Naludia Tena kusema: kwa udhaifu huu wa jeshi na serikali ya Congo ni dhahiri wameshindwa kuwalinda watu wao na kuleta usalama, sasa ni Bora nchi iongozwe na jeshi lenye nguvu ambalo ndio hao M23 na hapo ndio amani itapatkana. Kiukweli waasi wana nguvu karibia mara mbili ya serikali ya Congo kwa mujibu wa habari tunazozipata.

Wapewe nchi waasi maana wameonesha wao ni imara kuriko serikali ya Congo.
Mambo yatakuwa ni yaleyale, Kisa Cha yote ni rasilimali za Congo!Wanatumiwa na nchi zenye masilahi nao.
 
Kuna mahali nilicomment kwamba Mimi naona bora hao M23 waipindue serikari yote ya congo kisha watawale wao watu hawakunielewa!

Naludia Tena kusema: kwa udhaifu huu wa jeshi na serikali ya Congo ni dhahiri wameshindwa kuwalinda watu wao na kuleta usalama, sasa ni Bora nchi iongozwe na jeshi lenye nguvu ambalo ndio hao M23 na hapo ndio amani itapatkana. Kiukweli waasi wana nguvu karibia mara mbili ya serikali ya Congo kwa mujibu wa habari tunazozipata.

Wapewe nchi waasi maana wameonesha wao ni imara kuriko serikali ya Congo.
Akili zako Mbovu
 
Kuna mwamba anaenda kesho huko GOMA kuwafurusha waasi wa serikali ya CONGO,M23 anaitwa Gunner Shooter@ hii ni taarifa mbaya sana kwake.
 
Hatuwaelewi mara jeshi la south Africa limewazuaia hao waasi mara waasi nao wameteka mji wa goma sasa kipi ni kipi?
Ubavu huo wa kuwazuia wanao!? Tambueni M23 si ile ya 2013. Miaka 10 ni mingi mno. Na hakika walijua ipo siku. Af, huwezi kuamkia mayai na kujaza kitambi, utegemee kukabiliana na mtu aishie polini kwa miaka yote hiyo au na zaidi. Jeshi la South Africa si nchi iliyopelekwa. Na cha ziada, mwanajeshi asie na masrahi na vita unategemea nini? Amri ni kupigana vita kwenye nchi ya watu, isiyokuhusu wewe. Burundi waliokataa mwanzoni walihukumiwa kifungu miaka 30. Wenzao wameuliwa kama sisimizi. Waliobaki wamejitoa na kwenda Kivu kusini. Huko na kwenyewe ni yale yale. Na ndipo walipo waasi wa Burundi, ambao ni watutsi. M23 ni watutsi. Unadhani warundi wasipojiongeza kinaenda kuwapata kitu gani!? Vita ni vita babu!!!! Hii ni no retreat no surrender. Jiulize mpaka sasa wapo makomando wa DRC bado wanajaribu kujibizana na M23. Njia ya kutokea hawana, msaada haupo, siraha nyingi zao na za SADC zipo mikononi mwa M23, ambayo pia makomando wake wameiva. Unategemea kinaenda kutokea nini badae!? Kuna mengine mengi hayasemwi, lakini kinachoendelea pale ni historia. Si South Africa wala MONUSCO, hakika hawana hamu. Si mwanzo kabisa walisema hawana ubavu wa kukabiliana na M23!? Ndo hiki kilichosemwa sasa.
 
Ndio maana Kagame huwa anavimba sana kuwasema watu wanaosema kanchi kake ni kama kamkoa ka nchi flan..
Wanadai hiyo M23 kuna wanajeshi wa Rwanda zaidi ya 4000 wamo humo wanaongeza experience ya vita
 
Bado naendelea kujifunza inakuaje nchi ndogo kama Rwanda inaizidi nguvu Congo
Ulifikiri nchi kila ikiwa na eneo kubwa la ardhi ndio watakuwa wakali zaidi kupigana? huwa unafikiri nini mkuu

Rwanda ni nchi ndogo sana kwa Africa lakini wako mbali sana kitechnologia na kila kitu hata kiuchumi anazipita nchi nyingi sana ata Tanzania hamuoni ndani kwa Rwanda na msije mkajaribu, Kagame yuko sawa sana atakuchapeni mchana mmoja tuu.

Wewe huoni Russia nafkiri ndio nchi ya kwanza duniani yenye eneo kubwa la ardhi, lakini wanapigwa na Taifa dogo la Ukraine sasa wanaume wako Kurks huko upande mwa ardhi ya Russia wanashugulikiwa.
 
M23 naona wameingia Goma.

FARDC wameingia mitini wameyaacha majeshi ya South Afrika yakipambana na FARDC
 
Huo mstari wa mwisho,umemaliza kila kitu mkuu na ndio source ya matatizo ya huko DRC
Mnawasingizia tu matatizo ya Africa yanasababishwa na Waafrica wenyewe kwa asilimia zaidi ya 90. So hao mabeberu wanatumia opportunity hiyo kujipatia kile wanachotaka. Mtu hawezi kutoka huku atokako na kukwambia ua ndugu yako na wewe ukamtii then unaanza kumulaumu yeye kwa maamuzi yako mwenyewe.
 
Ulifikiri nchi kila ikiwa na eneo kubwa la ardhi ndio watakuwa wakali zaidi kupigana? huwa unafikiri nini mkuu

Rwanda ni nchi ndogo sana kwa Africa lakini wako mbali sana kitechnologia na kila kitu hata kiuchumi anazipita nchi nyingi sana ata Tanzania hamuoni ndani kwa Rwanda na msije mkajaribu, Kagame yuko sawa sana atakuchapeni mchana mmoja tuu.

Wewe huoni Russia nafkiri ndio nchi ya kwanza duniani yenye eneo kubwa la ardhi, lakini wanapigwa na Taifa dogo la Ukraine sasa wanaume wako Kurks huko upande mwa ardhi ya Russia wanashugulikiwa.
Wewe ni raia wa wapi? Mbona upo negative sana, au ni mtutsi?
 
Ulifikiri nchi kila ikiwa na eneo kubwa la ardhi ndio watakuwa wakali zaidi kupigana? huwa unafikiri nini mkuu

Rwanda ni nchi ndogo sana kwa Africa lakini wako mbali sana kitechnologia na kila kitu hata kiuchumi anazipita nchi nyingi sana ata Tanzania hamuoni ndani kwa Rwanda na msije mkajaribu, Kagame yuko sawa sana atakuchapeni mchana mmoja tuu.

Wewe huoni Russia nafkiri ndio nchi ya kwanza duniani yenye eneo kubwa la ardhi, lakini wanapigwa na Taifa dogo la Ukraine sasa wanaume wako Kurks huko upande mwa ardhi ya Russia wanashugulikiwa.
Wewe PIMBI acha kelele, hujui kitu.
 
Bado naendelea kujifunza inakuaje nchi ndogo kama Rwanda inaizidi nguvu Congo
Kongo kuanzia Raisi hadi wanajeshi kazi wanayojua moja tu kucheza nyimbo za kosongo yeye mobali na ngai na ndombolo kunengua viuno tu kama wanawake na kujipodoa hakuna serikali kongo wala jeshi kule
 
FARDC huko Goma wamehamua kuvua magwanda na kuvaa nguo za kiraia

Back
Top Bottom