- Thread starter
- #21
AsanteSilaha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AsanteSilaha
Kwahiyo anaopigana na Israel wao wana silaha zao wenyewe wanaunda? Tumia akili japo ndogo..Bila Marekani hakuna Israel
Fatilia mitandaoni kiasi Cha siraha kilichopelekwa Israel, wanajeshi wa Marekani ndani ya Israel na msaada wa anga.
Wanakazi ya kujichubua kama mademu!Yaani Najiuliza sana Ni Ujinga Kiasi gani uko pale DRC??
Mambo yatakuwa ni yaleyale, Kisa Cha yote ni rasilimali za Congo!Wanatumiwa na nchi zenye masilahi nao.Kuna mahali nilicomment kwamba Mimi naona bora hao M23 waipindue serikari yote ya congo kisha watawale wao watu hawakunielewa!
Naludia Tena kusema: kwa udhaifu huu wa jeshi na serikali ya Congo ni dhahiri wameshindwa kuwalinda watu wao na kuleta usalama, sasa ni Bora nchi iongozwe na jeshi lenye nguvu ambalo ndio hao M23 na hapo ndio amani itapatkana. Kiukweli waasi wana nguvu karibia mara mbili ya serikali ya Congo kwa mujibu wa habari tunazozipata.
Wapewe nchi waasi maana wameonesha wao ni imara kuriko serikali ya Congo.
Akili zako MbovuKuna mahali nilicomment kwamba Mimi naona bora hao M23 waipindue serikari yote ya congo kisha watawale wao watu hawakunielewa!
Naludia Tena kusema: kwa udhaifu huu wa jeshi na serikali ya Congo ni dhahiri wameshindwa kuwalinda watu wao na kuleta usalama, sasa ni Bora nchi iongozwe na jeshi lenye nguvu ambalo ndio hao M23 na hapo ndio amani itapatkana. Kiukweli waasi wana nguvu karibia mara mbili ya serikali ya Congo kwa mujibu wa habari tunazozipata.
Wapewe nchi waasi maana wameonesha wao ni imara kuriko serikali ya Congo.
Daa! Kumbe ni kweli "Ukubwa wa pua sio wingi wa kamasi"Bado naendelea kujifunza inakuaje nchi ndogo kama Rwanda inaizidi nguvu Congo
Ubavu huo wa kuwazuia wanao!? Tambueni M23 si ile ya 2013. Miaka 10 ni mingi mno. Na hakika walijua ipo siku. Af, huwezi kuamkia mayai na kujaza kitambi, utegemee kukabiliana na mtu aishie polini kwa miaka yote hiyo au na zaidi. Jeshi la South Africa si nchi iliyopelekwa. Na cha ziada, mwanajeshi asie na masrahi na vita unategemea nini? Amri ni kupigana vita kwenye nchi ya watu, isiyokuhusu wewe. Burundi waliokataa mwanzoni walihukumiwa kifungu miaka 30. Wenzao wameuliwa kama sisimizi. Waliobaki wamejitoa na kwenda Kivu kusini. Huko na kwenyewe ni yale yale. Na ndipo walipo waasi wa Burundi, ambao ni watutsi. M23 ni watutsi. Unadhani warundi wasipojiongeza kinaenda kuwapata kitu gani!? Vita ni vita babu!!!! Hii ni no retreat no surrender. Jiulize mpaka sasa wapo makomando wa DRC bado wanajaribu kujibizana na M23. Njia ya kutokea hawana, msaada haupo, siraha nyingi zao na za SADC zipo mikononi mwa M23, ambayo pia makomando wake wameiva. Unategemea kinaenda kutokea nini badae!? Kuna mengine mengi hayasemwi, lakini kinachoendelea pale ni historia. Si South Africa wala MONUSCO, hakika hawana hamu. Si mwanzo kabisa walisema hawana ubavu wa kukabiliana na M23!? Ndo hiki kilichosemwa sasa.Hatuwaelewi mara jeshi la south Africa limewazuaia hao waasi mara waasi nao wameteka mji wa goma sasa kipi ni kipi?
Ndio maana Kagame huwa anavimba sana kuwasema watu wanaosema kanchi kake ni kama kamkoa ka nchi flan..Ubavu huo wa kuwazuia wanao!? Tambueni M23 si ile ya 2013. Miaka 10 ni mingi mno. Na hakika walijua ipo siku. Af, huwezi kuamkia mayai na kujaza kitambi, utegemee kukabiliana na mtu aishie polini kwa miaka yote hiyo au na zaidi. Jeshi la South Africa si nchi iliyopelekwa. Na cha ziada, mwanajeshi asie na masrahi na vita unategemea nini? Amri ni kupigana vita kwenye nchi ya watu, isiyokuhusu wewe. Burundi waliokataa mwanzoni walihukumiwa kifungu miaka 30. Wenzao wameuliwa kama sisimizi. Waliobaki wamejitoa na kwenda Kivu kusini. Huko na kwenyewe ni yale yale. Na ndipo walipo waasi wa Burundi, ambao ni watutsi. M23 ni watutsi. Unadhani warundi wasipojiongeza kinaenda kuwapata kitu gani!? Vita ni vita babu!!!! Hii ni no retreat no surrender. Jiulize mpaka sasa wapo makomando wa DRC bado wanajaribu kujibizana na M23. Njia ya kutokea hawana, msaada haupo, siraha nyingi zao na za SADC zipo mikononi mwa M23, ambayo pia makomando wake wameiva. Unategemea kinaenda kutokea nini badae!? Kuna mengine mengi hayasemwi, lakini kinachoendelea pale ni historia. Si South Africa wala MONUSCO, hakika hawana hamu. Si mwanzo kabisa walisema hawana ubavu wa kukabiliana na M23!? Ndo hiki kilichosemwa sasa.
Ulifikiri nchi kila ikiwa na eneo kubwa la ardhi ndio watakuwa wakali zaidi kupigana? huwa unafikiri nini mkuuBado naendelea kujifunza inakuaje nchi ndogo kama Rwanda inaizidi nguvu Congo
Mnawasingizia tu matatizo ya Africa yanasababishwa na Waafrica wenyewe kwa asilimia zaidi ya 90. So hao mabeberu wanatumia opportunity hiyo kujipatia kile wanachotaka. Mtu hawezi kutoka huku atokako na kukwambia ua ndugu yako na wewe ukamtii then unaanza kumulaumu yeye kwa maamuzi yako mwenyewe.Huo mstari wa mwisho,umemaliza kila kitu mkuu na ndio source ya matatizo ya huko DRC
Wewe ni raia wa wapi? Mbona upo negative sana, au ni mtutsi?Ulifikiri nchi kila ikiwa na eneo kubwa la ardhi ndio watakuwa wakali zaidi kupigana? huwa unafikiri nini mkuu
Rwanda ni nchi ndogo sana kwa Africa lakini wako mbali sana kitechnologia na kila kitu hata kiuchumi anazipita nchi nyingi sana ata Tanzania hamuoni ndani kwa Rwanda na msije mkajaribu, Kagame yuko sawa sana atakuchapeni mchana mmoja tuu.
Wewe huoni Russia nafkiri ndio nchi ya kwanza duniani yenye eneo kubwa la ardhi, lakini wanapigwa na Taifa dogo la Ukraine sasa wanaume wako Kurks huko upande mwa ardhi ya Russia wanashugulikiwa.
Wewe PIMBI acha kelele, hujui kitu.Ulifikiri nchi kila ikiwa na eneo kubwa la ardhi ndio watakuwa wakali zaidi kupigana? huwa unafikiri nini mkuu
Rwanda ni nchi ndogo sana kwa Africa lakini wako mbali sana kitechnologia na kila kitu hata kiuchumi anazipita nchi nyingi sana ata Tanzania hamuoni ndani kwa Rwanda na msije mkajaribu, Kagame yuko sawa sana atakuchapeni mchana mmoja tuu.
Wewe huoni Russia nafkiri ndio nchi ya kwanza duniani yenye eneo kubwa la ardhi, lakini wanapigwa na Taifa dogo la Ukraine sasa wanaume wako Kurks huko upande mwa ardhi ya Russia wanashugulikiwa.
Kongo kuanzia Raisi hadi wanajeshi kazi wanayojua moja tu kucheza nyimbo za kosongo yeye mobali na ngai na ndombolo kunengua viuno tu kama wanawake na kujipodoa hakuna serikali kongo wala jeshi kuleBado naendelea kujifunza inakuaje nchi ndogo kama Rwanda inaizidi nguvu Congo