Farewell RO....

Status
Not open for further replies.
Tatizo la nchi yetu ni mfumo, tubadilishe mfumo kwanza then kila kitu kitaenda smoothly
Ngoma kuubadilisha huu mfumo.. i wish kila mtanzania angetambua Tanzania bila umasikini inawezekana. Watu wamezoea umasikini mpaka hawaamini mabadiliko ! Kweli ccm wanadhambi sana ktk hili
 

Huyu Japhet Mosi ndo wale wale waliotumwa kunena hata kama ameandikiwa kuwa aseme baba yake hajamzaa atasema hivyo hivyo ilimradi tu katumwa na mkubwa. Mbona hatoi mifano ya akina MRAMBA, MGONJA na wakristo wengine waliolifikisha taifa hapa tulipo? au haujui madudu ambayo Mramba na wenzake walifanya? kama siyo udini ameshindwa nini kutaja hata muislamu mmoja ambaye ni mtendaji mzuri au anajifanya hawajui? Huyu LOWASA wanayempamba kuwa ni jembe siyo mkristo? au kwa vile anawarubuni na fedha alizoliibia taifa wanataka kujisahaulisha kuwa siyo fisadi na kwamba alisingiziwa? Basi wakristo hawa watakua wa ajabu kama MWAKYEMBE, SAMWEL SITTA, WILLIAM SHELUKINDO ambao wote ni wakristo waliweza kumsingizia mkristo mwenzao na kwa lipi wafanye hivyo.
 
Kumbe wao ndiyo wanaamua!
(Ni hapo kwenye nyekundu.) .
Of course yes!, wewe ulidhani ni ballot?!.
Nimewahi kuwauliza hawa jamaa zangu wenye great expectation ya kukabidhiwa nchi, jee wamefuatilia kama wale vijana wa Davis, Othman na Saidi wameandaliwa kisaikolojia kukabidhi?!. wao ndio waamuzi, ballot is just a procedure!.
Pasco
 
Sihitaji kuimba taarab ili nionekane great thinker, ila mtu anayetetea uvunjaji wa sheria kwa kigezo cha uzoefu hawezi kuwa somebody who thinks critically unless there are some loose bolts somewhere

Hivi unawezaje kupima kuwa huyu anatetea uvunjaji wa sheria na kwamba wewe ndo uko sahihi? tunatumia vigezo gani? Kutukana matusi, vijembe, na majungu vinaweza kunifanya mimi niamini kuwa unachokisema ni sahihi? unaweza kujiona kama hutaki kuwa mama wa taarabu, kumbe vijembe vyako visivyo na maana vikawa ninakuthaminisha kuwa mwana-taarabu. Hoja ijibiwe kwa hoja na si vinginevyo. Kuishia kusema SLAA ni jembe, KAWAMBWA hafai haitoshi kuthibitisha maneno hayo, lazima ifikie mahala tuweze kufanya analysis za kutosha kabla ya kuchangia mada.
 

halafu huyu Magufuli anayemsifia si ndiye alikumbwa na kashfa ya kuuza nyumba za serikali mpaka ikadaiwa kuwa kuna wengine ambao si watumishi wa umma waliuziwa hizo nyumba wakiwemo vimada wake na house girl. au Japhet ulikuwa hujazaliwa, hivi leo watumishi wengi wenye hadhi ya ukurugenzi, makamishna na majaji wanalazimika kulala hotelini kwa muda mrefu pale wanapoteuliwa na hivyo kuiingizia hasara kubwa serikali. Japhet rudi kwenye masuala mazito yaliyoliumiza taifa kama EPA, RICHMOND na radar, makosa yote yamefanywa na hao unaowaita wakristo wasiofanya makosa. haya bwana japhet hivi ni nani ameuza mashirika ya umma kama ATCL, TCC, TTCL na mengineyo kwa bei chee? si utawala wa mzee mkapa? tukirudi kwenye madini, mikataba mingi feki iliingiwa na hao unaowaita wakristo safi. haya kaka hivi unawakumbuka WILLIAM NGELEJA, LAURENCE MASHA, na wengine wa aina hiyo walioboronga licha ya ukristo wao

tunachokisema hapa ni kuwa kama mtu ni mbovu ni udhaifu wake na si udhaifu wa dini husika
 
Ukitaka kumjua muongo mmbea na mwenye majungu angalia maandishi meku-ndu. Anabakia tu kusema wa kwenu, mara hakabidhiwi, akinanani? sema. Bora nijiondokee zangu kuliko kusoma upuuzi huu wa wanasiasa.
Mkuu Thatha, pole sana!, uelewa wa hoja fulani fulani unahitaji level fulani fulani!, yaani ni mambo ya IQ!. Uamuzi wa kujiondokea zako kuliko kusoma usichoelewa na kuthania ni upuuzi!. Ukiona huku huelewi tembelea majukwaa mengine yapo kibao!.
Pasco.
 

Hivi kwa nini Watanzania tunakuwa so reluctant kustaafu kwa hiari ukifikisha miaka 60 ambayo ni lazima? Kwa nini usiseme basi hata kama unaongezewa mkataba? Civil service yote ina succession plan ina maana hazifanyi kazi? Sioni kwa nini hili suala linakuwa emotive kwa baadhi ya wachangiaji. Hii culture ya kung'ang'ania ofisini kwa kisingizio cha "ufanisi mzuri" "bado anahitajika" utaua kabisa civil service. Fresh ideas are always the engine for change and progress!
 

naona unatumia style ya character assassination kukwepa mishale
 

Mkuu Jichola3,
Kwa kutumia jicho hilo kama jina lako linavyosema, naomba uzingatie kuwa, suala la mitaala katika hoja ya Mbatia lilikuwa ni mojawapo ya mambo mengi ya udhaifu wa mfumo wa elimu nchini. Hao waliofeli wamepita katika mfumo huo dhaifu.
 
Nijifariji ili iweje!!!? Mkuu wa usalama angekuwepo basi nchi ingekuwa na amani udini wa kufikia hadi kuuana usingekuwepo, wahusika wote na ufisadi wa EPA, mabilioni ya uswiss, Meremera, Kagoda, Rada, Wezi wa Kiwira Coal Mining, wakwapuaji wa nyumba za Serikali, Wabunge waliopokea rushwa ili kupitisha bajeti ya nishati na madini na watoaji wa rushwa hiyo, Waliomuua Mwangosi, Waliotaka kumuua Dr Ulimboka, waliohusika na kashfa ya kuruhusu ndege toka nje ya nchi kuingia na kubeba wanyama kiwiziwizi wote wangekuwa wanachezea mvua lupango lakini wapi!!!! Wanapeta mtaani kwa raha zao halafu unadai eti tuna Mkuu wa usalama wa Taifa!!!! Usalama gani wa Taifa anaoufanya wakati nchi imejaa madudu ya kila aina!!!? Hebu tuambie usalama wa Taifa anaousimamia huyu Mkuu wa usalama wa Taifa ni upi!?

 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…