hivi unawafahamu wakandarasi waliojenga hizo barabara, fuatilia kwani wote ni wakristo. kwa hiyo walikuwa wanaharibu ili alaumiwe Dr Shukuru kawambwa? haya tukirudi suala la mitihani, Katibu Mkuu ambaye ndiye mtendaji mkuu wa NECTA ni Mkristo, waislam walivyotaka kuandamana ili Dr Ndalichako achukuliwe hatua, mliwakebehi na kuwaona wadini. leo form four wengi wamefeli mnamtaka Dr Kawambwa ajiuzulu bila ya kumgusa Katibu Mtendaji. kisa, ni mwislamu. fikra gani unatuletea? shida kubwa ninayoipata hapa ni kwa watu kama japhet ambao huangalia matokeo ya kitu badala ya kuangalia msingi wa hilo tatizo. kama wewe ni mzazi basi bila shaka ni mzazi mbaya sana. kila jambo zuri kafanya mkristo na kila jambo baya kafanya muslamu. kama dini ndiyo tatizo, mbona mataifa ya kiarabu ambayo kwa kiasi kikubwa huongozwa na waislam ndiyo yanaongoza kwa kuwa na uchumi imara. shida kubwa ni kuishi bila ya kutembea nchi za watu. Nenda Qatar, Falme za Kiarabu, Oman, Iran, Saudi Arabia ukashuhudie maisha yalivyo bora na kila kitu kiko sawa mpaka mataifa ya magharibi yanaenda kujifunza huko
kuhusu suala la ulimboka kuteswa, nani asiyetambua kuwa ule ulikuwa ni mpango wa akina kubenea wakitumwa na chadema na wanaojiita wanaharakati ili kuchafua image ya idara yetu nyeti na serikali. sasa wameumbuka baada ya malalamiko yao waliyopeleka THE HAGUE kutupiliwa jalalani maana yamebainika ni uzushi