utaifakwanza
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 14,193
- 2,813
hivi Rashid Othman ni mzee sana kuliko DR SLAA?????????? hebu wanaowafahamu hawa kwa uzuri watusaidie, mbona slaa yupo na uzee wote ule lakini hatusikii ajiuzulu au kustaafu
Mzee Mwanakijiji, very good pre emptive move supposed to be the "stich in time" expected to "saves nine", but it won't help, it won't save, ni mwendo mdundo hadi 2015 atakapoondoka na timu yake yote!. Na hivi ndivyo ilivyo hata kwa mtangulizi wake!, si ni muda ilifika wakati mwenywe akiwa kabla bado!, si ni aliongezewa na wakaondoka pamoja!.
No matter how much the house is in mess as long as mwenye nyumba hakerwi na uchafu, then kelele zozote za wapita njia ni sawa na kelele za mlango!.
Pasco.
aliteuliwa kishkaji ataondoka kishkaji na mshkaji wake
Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa anatakiwa awe anastaafu leo kwa mujibu wa sheria. Ametumikia chini ya Kikwete tangu miezi michache tu baada ya Rais Kikwete kuingia madarakani. Chini ya uongozi wake wa idara hii nyeti kabisa nchini ambayo haiko chini ya Katibu Mkuu Kiongozi mengi yametokea na kwa kiasi kikubwa mengi ya kufanya watu wakumbuke idara wakiwa na maswali mengi kichwani.
Tunaweza kuanza kuorodhesa mambo ambayo yameonesa ulegevu wa Idara ya Usalama wa Taifa katika ulinzi wa taifa chini ya uongozi wa Rashid Othman na Zoka (ambaye naye legally amestaafu lakini "bado yupo"). Kuna viongozi kadhaa wa Idara wanaotakiwa kustaafu hivi sasa lakini wote bado "wapo" na kuna dalili kuwa RO anataka Rais amuongezee muda ili wamalize wote 2015.
The vice versa also is true, Competent people are like trees with sweet fruits, are the ones who are always beaten by stones.
Mfumokristo hahahahaha
Mbowe ana miaka mingapi kwenye uenyekiti mbona hammwambii astaafu??????????????????????????
Kuongezeana muda wa kustaafu kunapatikana Tanzania, wakati huo vijana wanapakwa mafuta kwa mgongo wa chupa kuwa ni taifa la kesho
Kuongezeana muda wa kustaafu kunapatikana Tanzania, wakati huo vijana wanapakwa mafuta kwa mgongo wa chupa kuwa ni taifa la kesho
Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa anatakiwa awe anastaafu leo kwa mujibu wa sheria. Ametumikia chini ya Kikwete tangu miezi michache tu baada ya Rais Kikwete kuingia madarakani. Chini ya uongozi wake wa idara hii nyeti kabisa nchini ambayo haiko chini ya Katibu Mkuu Kiongozi mengi yametokea na kwa kiasi kikubwa mengi ya kufanya watu wakumbuke idara wakiwa na maswali mengi kichwani.
Tunaweza kuanza kuorodhesa mambo ambayo yameonesa ulegevu wa Idara ya Usalama wa Taifa katika ulinzi wa taifa chini ya uongozi wa Rashid Othman na Zoka (ambaye naye legally amestaafu lakini "bado yupo"). Kuna viongozi kadhaa wa Idara wanaotakiwa kustaafu hivi sasa lakini wote bado "wapo" na kuna dalili kuwa RO anataka Rais amuongezee muda ili wamalize wote 2015.
vijana ambao ni hardworking na wazalendo wapo kazini, walalamikaji na wenye chuki kama wewe wapo kijiweni wanadanganyana, wakipelekwa shule wanacheza na facebook wakitafuta wachumba, siku ya mtihani zeroooooooooo
Hapana mfumo VIPEDO!!!! Rais, makamu wa Rais, Jaji Mkuu, Mkuu wa Usalama wa Taifa, Mkuu wa jeshi la polisi!!!
kinachotakiwa si kijana bali ni uwezo wa mtu katika kuongoza na kufanya maamuzi yasiyo na shaka na ambayo hayatawaumiza walio wengi. kama mnajidanganya kuwa atateuliwa huyo mnayemuita kijana ili mumyumbishe hapo mmedanganyika
Sioni kama hoja ya MBATIA inatoa picha yoyote hapa. Kuna wanafunzi waliofanya vizuri tu, sasa tuseme walikuwa na mitaala yao toauti na wale waliofeli? Halafu mimi nashangaa, wanaolalamika ni wale ambao watoto wao, ndugu zao na jamaa zao wamefanya vibaya katika matokeo hayo, wale ambao watoto wao wamefanya vizuri wamefurahi sana na kuipongeza serikali tena tunao mitaani wanasema wazi kuwa watoto wa jirani zao walikuwa wavuta bangi, watumia simu za mikononi hovyo na vitu kama hivyo. Hivi mtaala hata ukiwa mzuri vipi utamzuia mtoto kuvuta bangi?Hongera kwasababu unaonyesha your ignorance, ina maana umri wa kustafu uliwekwa ili uwe trampled upon? mtu akisema ukweli siyo lazima awe wa kijiweni mkuu, so take care not to judge a book by its cover, tusifanye vitu kwa kubebana na usiwadharau walopata zero maana mfumo unaoutetea ndo umewapa matokeo hayo tumekengeuka maadili ya kitaifa na tumebaki kushabikia trivial party politics, udhaifu mfumo wa elimu aliuzungumzia Mh. Mbatia wabunge wa magamba walichomfanyia unakielewa, Mungu si Athuman matokeo yamewaumbua sasa wanaleta tume, shame.