Farhia Middle punguza huo unene

Jamani jamani 😄😄😄
Nadhan Jacline silem ni uzazi tumbo ndo limefutuka
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3516]
 
Mkuu,tatizo lako tangu ulione neno "English figure" umekuwa absorbed to the maximum! Farhia yuko poa ila weye umeathirika na kitu kinaitwa "uhawilishaji"!
 
Kumbe hili wazo ni la muda basi anza kulifanyia kazi huenda Kuna malaika wanakusubiri uache ulevi wakupe kitu chenye neema
Haaaaa Haaaaa 😂 upo mkuu, nimekumiss
 
Bongo unene ni afya,unene ni urembo pia unaonekana una pesa
 
Yaani mtu anafutuka, futuu kama pipa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…