Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
- Thread starter
- #121
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anakiherehere kweli huyu jamaa utazani yy ndio anamla huyo dada sisi wengine ndio tunampenda hivyo alivyo hasa anapopita pale mbele huyu dada yupo vizuri sana kwasasa kati ya watangazaji wa kike nchini
Naunga mkono hoja
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Farhia Middle
Jacqueline Slim
Bahati Alex
Hawa wadada wameijachia sana wamekuwa kama mapipa wafanye mazoezi kupunguza walau hayo manyama uzembe.
Screen inajaa kichwa tu cha mtangazaji dah
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3516]Nimenenepa vby mno nadhan daily kuna pound naadd! Nalala kama teja..sina chakifanya kusumbua mwili..uso umekuwa round kama wa Mpoto[emoji1][emoji1]! Umejaa...sina hakika kama am ok! Kwenye kula sasa..coz nilimis kula vzr nafukia ile moment sikuwepo! Had watoto wanasema mama umekuwa mkubwaa[emoji21][emoji21][emoji21]! Yaan sifai!
Hapana Mimi Ni hausiboi wake[emoji15]
Mkuu,tatizo lako tangu ulione neno "English figure" umekuwa absorbed to the maximum! Farhia yuko poa ila weye umeathirika na kitu kinaitwa "uhawilishaji"!Naam
Huyu dada huwa namkubaii sana wakati wa usomaji wa Taarifa ya habari pale ITV.
Anajiamini na uwasilishaji wake wa habari ni mzuri kwakweli
Kwangu Mimi namuona inafaa sana BBC Swahili wamchukue huyu akasadiane na akina Kikeke na Zuhura kuliko wale Wakenya na Waganda wanaoongea Kiswahili Cha ovyo pale BBC.
Dada/Mama Farhia Middle jaribu fanya mazoezi upunguze huo uzito aisee.
Nafikiri kuwa na mwili wa wastani ni moja Kati sifa nzuri ya News anchors wote
Natumaini utapita hapa na kusoma nakufanyia kazi huu ushauri wangu
Mimi nakukubali sana
Jackline Silemu na wewe jitafakari.
Asante [emoji120]Mkuu,tatizo lako tangu ulione neno "English figure" umekuwa absorbed to the maximum! Farhia yuko poa ila weye umeathirika na kitu kinaitwa "uhawilishaji"!
Merci mukubwa!Bon,nimepiga asanti mingi sana!Asante [emoji120]
Kabisa. Habari bila picha hainogi kabisaWeka picha mzee mkubwa
Kumbe hili wazo ni la muda basi anza kulifanyia kazi huenda Kuna malaika wanakusubiri uache ulevi wakupe kitu chenye neemaMI natamani niache kabisa pombe sijui naanzia wap
Haaaaa Haaaaa 😂 upo mkuu, nimekumissKumbe hili wazo ni la muda basi anza kulifanyia kazi huenda Kuna malaika wanakusubiri uache ulevi wakupe kitu chenye neema
Tupo aisee niaje umekuwa kama mwanasiasa nakuzoom tuuHaaaaa Haaaaa 😂 upo mkuu, nimekumiss
Usijali bebi wangu tutamiti kokoriko wiki hii tuTupo aisee niaje umekuwa kama mwanasiasa nakuzoom tuu