Farhia Middle punguza huo unene

Farhia Middle punguza huo unene

Jamani jamani 😄😄😄
Nadhan Jacline silem ni uzazi tumbo ndo limefutuka
 
Nimenenepa vby mno nadhan daily kuna pound naadd! Nalala kama teja..sina chakifanya kusumbua mwili..uso umekuwa round kama wa Mpoto[emoji1][emoji1]! Umejaa...sina hakika kama am ok! Kwenye kula sasa..coz nilimis kula vzr nafukia ile moment sikuwepo! Had watoto wanasema mama umekuwa mkubwaa[emoji21][emoji21][emoji21]! Yaan sifai!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3516]
 
Naam

Huyu dada huwa namkubaii sana wakati wa usomaji wa Taarifa ya habari pale ITV.

Anajiamini na uwasilishaji wake wa habari ni mzuri kwakweli

Kwangu Mimi namuona inafaa sana BBC Swahili wamchukue huyu akasadiane na akina Kikeke na Zuhura kuliko wale Wakenya na Waganda wanaoongea Kiswahili Cha ovyo pale BBC.

Dada/Mama Farhia Middle jaribu fanya mazoezi upunguze huo uzito aisee.

Nafikiri kuwa na mwili wa wastani ni moja Kati sifa nzuri ya News anchors wote

Natumaini utapita hapa na kusoma nakufanyia kazi huu ushauri wangu

Mimi nakukubali sana

Jackline Silemu na wewe jitafakari.
Mkuu,tatizo lako tangu ulione neno "English figure" umekuwa absorbed to the maximum! Farhia yuko poa ila weye umeathirika na kitu kinaitwa "uhawilishaji"!
 
Bongo unene ni afya,unene ni urembo pia unaonekana una pesa
 
Back
Top Bottom