Vipi akifunga remba?Habarini wakuu,
Nimekuwa navutiwa na mwanadada huyu mtangazaji wa ITV Farhia Midle katika utangazaji wake lakini kwakweli amekuwa na staili yake moja ya kubana nywele kwa nyuma jamani mpaka inaboa.
Nilikuwa namuomba awe anabadilisha staili mbali mbali za kubana nywele zake maana anaonekana ana nywele nzuri na ndefu.
Nawasilisha
tuwekee picha mana ili jina sili sikii sikii kama wakina ufosaloHabarini wakuu,
Nimekuwa navutiwa na mwanadada huyu mtangazaji wa ITV Farhia Midle katika utangazaji wake lakini kwakweli amekuwa na staili yake moja ya kubana nywele kwa nyuma jamani mpaka inaboa.
Nilikuwa namuomba awe anabadilisha staili mbali mbali za kubana nywele zake maana anaonekana ana nywele nzuri na ndefu.
Nawasilisha
Ungeanza kwanza na Tulia Spa.Habarini wakuu,
Nimekuwa navutiwa na mwanadada huyu mtangazaji wa ITV Farhia Midle katika utangazaji wake lakini kwakweli amekuwa na staili yake moja ya kubana nywele kwa nyuma jamani mpaka inaboa.
Nilikuwa namuomba awe anabadilisha staili mbali mbali za kubana nywele zake maana anaonekana ana nywele nzuri na ndefu.
Nawasilisha
leo akirudi nyumbani ntamwambiaHabarini wakuu,
Nimekuwa navutiwa na mwanadada huyu mtangazaji wa ITV Farhia Midle katika utangazaji wake lakini kwakweli amekuwa na staili yake moja ya kubana nywele kwa nyuma jamani mpaka inaboa.
Nilikuwa namuomba awe anabadilisha staili mbali mbali za kubana nywele zake maana anaonekana ana nywele nzuri na ndefu.
Nawasilisha
Uko wapiWanawake wa dar mnakuja juu, mnataka kuwapiku wanaume zenu?
wakati we unaangalia makalio mwenzako anaangalia 'unywele'Kuna siku nilipata muda wa kuchezea nikaona nitumie kuangalia movie nilikua na mdada fulani wakati tunatizama ile sinema, katikati ya movie akasema mapazia ya nyumba kwenye movie mabaya. Nilishangaa na kuchoka. Wanawake huwa wanawaza nini! Ningeangalia peke yangu nisingeona kabisa yale mapazia. Mnaweza kuangali kitu kimoja ila mwanamke akaona kitu tofauti