Bushmamy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 9,140
- 15,963
Msalimie huyo dadaKuna siku nilipata muda wa kuchezea nikaona nitumie kuangalia movie nilikua na mdada fulani wakati tunatizama ile sinema, katikati ya movie akasema mapazia ya nyumba kwenye movie mabaya. Nilishangaa na kuchoka. Wanawake huwa wanawaza nini! Ningeangalia peke yangu nisingeona kabisa yale mapazia. Mnaweza kuangali kitu kimoja ila mwanamke akaona kitu tofauti