Farhia Midle mtangazaji wa ITV badilisha staili ya kubana nywele

jamani walimwengu
mmmmmh haya bhan
 
Sasa si bora wewe uliangalia nae movie! Ulisha wahi kuagalia mpira na mwanamke? Unaweza ukabadilisha station na kuweka music
 
Sasa si bora wewe uliangalia nae movie! Ulisha wahi kuagalia mpira na mwanamke? Unaweza ukabadilisha station na kuweka music
Kwani huyu ndo Messi?..sasa pale Ronaldo kafanyaje?...jaman nilimuona kwenye gazeti nikampenda kumbe Nani yupo team hii..kwani Ferahini yuko team gani?...Mbona wanapiga kelele kwani kashinda?.. hahaha ngashoka.
 
Shikamooni wanawake wa Dar,mnaanza kufanana na kaka zenu,
Mi nlijua utakuwa unampa ushauri ajiongeze ki elimu,uwekezaji kumbe upupu mtupu,eti ubanaji wa nyeele,????
Kweli kabisa unaleta upupu hapa?Nawaambia tigo wakate bando lako
 
Kwani huyu ndo Messi?..sasa pale Ronaldo kafanyaje?...jaman nilimuona kwenye gazeti nikampenda kumbe Nani yupo team hii..kwani Ferahini yuko team gani?...Mbona wanapiga kelele kwani kashinda?.. hahaha ngashoka.
[emoji23] I just enjoy, when she asks Me all of ths questions ...
 
hahahahahahhaha Donatila nimejikuta nakupenda tuu
 
[emoji23] [emoji23] ukilala kitandani ukiangalia dari ukimuuliza unawaza nini atakuambia nawaza kuwa unanipenda kweli?

Akikuuliza wewe unamwambia ukweli kuwa ulikuwa unajiuliza hivi NZI anakaaje upside down darini?

Ndio walivyo [emoji2] [emoji2]
 
Mie Mke wangu katika staili za nywele nayoipenda ni hyo ya kubana nywele kwa nyuma!
 
Akibadilisha style ya kubana nywele ndiyo utaelewa habari, au basi tu ni umbea tu unataka kuona akizibana zinakuwaje mpaka umefungua uzi kahhh, baadhi ya watanzania bana akili zao..hususani mabinti mnaboa sana kwa kufuatilia mambo ya kijanga nakuacha ya msingi, kazi yenu kushindani uzuri, mawigi, mavazi, mapambo, yani show off ya hatari tena hao ni mabinti wa dar
 
Najua leo mrembo atabadilisha staili ya nywele
 
anapendeza tu mbona,hataki gharama za saloon kila siku,ndio identity yake muachane bn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…