Farhia Midle mtangazaji wa ITV badilisha staili ya kubana nywele

Watu wengine bwana ni wa ajabu sana sasa nywele za mtu zinakuhusu nn wewe??hata akibadilisha zitakuongezea nn.
 
Jaman naombeni picha ya farhia midle akiwa amesimama. Nasikia kajaaliwa sana , yaani mtoto Mashaallah... hvi ni kweli?
 
wewe uwa unangalia nywele au habari.....????
 
Sijui huu ujumbe utamfikia ili aufanyie kazi??
 
et nawasilishaπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
Hiyo ni identity yake kama Flavi alivyo na low cut siku zote, au Fenera na twende kilioni. Urembo halisi unaonekana bila ya extra effors na gharama. Style ni nzuri na simple kuliko aweke ile miwigi micharuko inayodondokea machoni
 
haikuusu lakini..mbona zako fupi lakini hakuambii usisuke
 

Siungi mkono hoja hio inapaswa iwe hivo hivo na iitwe farhia style, nywele originale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…