Msalimie huyo dadaKuna siku nilipata muda wa kuchezea nikaona nitumie kuangalia movie nilikua na mdada fulani wakati tunatizama ile sinema, katikati ya movie akasema mapazia ya nyumba kwenye movie mabaya. Nilishangaa na kuchoka. Wanawake huwa wanawaza nini! Ningeangalia peke yangu nisingeona kabisa yale mapazia. Mnaweza kuangali kitu kimoja ila mwanamke akaona kitu tofauti
watoto kama hawa unakuta anakosa morning glory kisa anawahi kazini ITV asubuhi , dahView attachment 365989 vuta hisia nyuma atakuwaje
Habarini wakuu,
Nimekuwa navutiwa na mwanadada huyu mtangazaji wa ITV Farhia Midle katika utangazaji wake lakini kwakweli amekuwa na staili yake moja ya kubana nywele kwa nyuma jamani mpaka inaboa.
Nilikuwa namuomba awe anabadilisha staili mbali mbali za kubana nywele zake maana anaonekana ana nywele nzuri na ndefu.
Nawasilisha
kuna siku utakuja kumlalamikia UMMY mwalimu anapotangaza vifo vya CORONA huku anacheka, ndiyo staili yake, haoni shida waTanzania kufa.Habarini wakuu,
Nimekuwa navutiwa na mwanadada huyu mtangazaji wa ITV Farhia Midle katika utangazaji wake lakini kwakweli amekuwa na staili yake moja ya kubana nywele kwa nyuma jamani mpaka inaboa.
Nilikuwa namuomba awe anabadilisha staili mbali mbali za kubana nywele zake maana anaonekana ana nywele nzuri na ndefu.
Nawasilisha
Si kila mtu na style yake?