Atukuzwaye
Senior Member
- Oct 5, 2026
- 191
- 250
Picha ya Heche akiwa na begi la pesa ipo? Cctv kamera zilimdaka? Tunaziomba.Katibu mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Faris Burhani, amekosoa uadilifu wa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche, akidai kuwa alitaka kukiuza chama chake na kutoroka nchini na begi la fedha.
View attachment 3694104
Katibu mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Faris Burhani, amekosoa uadilifu wa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche, akidai kuwa alitaka kukiuza chama chake na kutoroka nchini na begi la fedha.
View attachment 3694104
Vijana wa kisasa hawawazi kujenga Chama, wao wanawaza kupata umaaraufu rahisi rahisi tu.Katibu mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Faris Burhani, amekosoa uadilifu wa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche, akidai kuwa alitaka kukiuza chama chake na kutoroka nchini na begi la fedha.
View attachment 3694104
Mchengerwa kasema UVCCM wanapenda sana rushwa.Katibu mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Faris Burhani, amekosoa uadilifu wa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche, akidai kuwa alitaka kukiuza chama chake na kutoroka nchini na begi la fedha.
View attachment 3694104
Na nani alikuwa mnunuaji?Alitaka kumuuzia nani?
Atakupotezea muda huyo.Mtu mwenyewe anaongea kama hana magego na haeleweki analalamika kitu kipi!CHAMA NI WATU AMELIUZAJE?AU ALITAKA KUMWUZA NANI?