Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,705
- 104,843
Wakautafute umaarufu kwa Mchengerwa aliyewachana mubashar kwamba ni wala rushwa waliokubuhu.Wamjibu.Vijana wa kisasa hawawazi kujenga Chama, wao wanawaza kupata umaaraufu rahisi rahisi tu.
Mnunuzi alikuwa Nani? Ni UVCCM mlitaka kununua Chadema? Bei gani mlikubaliana?Katibu mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Faris Burhani, amekosoa uadilifu wa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche, akidai kuwa alitaka kukiuza chama chake na kutoroka nchini na begi la fedha.
Faris anaendelea kwa kusema "tunachomuomba Heche awe mpole, tutashughulika naye, mafaili yake tunayo, siku yake ipo"
Kauli hizi za Faris Burhan alizozungumza katika Mkutano na vijana wa UVCCM Dodoma mnamo tarehe 19 Oktoba 2026, zinaashiria kuna mambo mengi kuhusu Heche ambayo yanaomuonesha Heche kutokuwa muadilifu.
Tumeambiwa tuwe wapole jamani, tuendelee kuwa wapole tuone yajayo!
View attachment 3694104
Na nani alikuwa shahidi wa manunuzi?Na nani alikuwa mnunuaji?
Swali Zuri sana!Alitaka kumuuzia nani?
Huyu nae kaingiaa kwenye mfumoo hahaha hawana agenda zaidi ya CDM na Heche ??Katibu mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Faris Burhani, amekosoa uadilifu wa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche, akidai kuwa alitaka kukiuza chama chake na kutoroka nchini na begi la fedha.
Faris anaendelea kwa kusema "tunachomuomba Heche awe mpole, tutashughulika naye, mafaili yake tunayo, siku yake ipo"
Kauli hizi za Faris Burhan alizozungumza katika Mkutano na vijana wa UVCCM Dodoma mnamo tarehe 19 Oktoba 2026, zinaashiria kuna mambo mengi kuhusu Heche ambayo yanaomuonesha Heche kutokuwa muadilifu.
Tumeambiwa tuwe wapole jamani, tuendelee kuwa wapole tuone yajayo!
View attachment 3694104
UVCCM ni wala rushwa mbwaKatibu mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Faris Burhani, amekosoa uadilifu wa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche, akidai kuwa alitaka kukiuza chama chake na kutoroka nchini na begi la fedha.
Faris anaendelea kwa kusema "tunachomuomba Heche awe mpole, tutashughulika naye, mafaili yake tunayo, siku yake ipo"
Kauli hizi za Faris Burhan alizozungumza katika Mkutano na vijana wa UVCCM Dodoma mnamo tarehe 19 Oktoba 2026, zinaashiria kuna mambo mengi kuhusu Heche ambayo yanaomuonesha Heche kutokuwa muadilifu.
Tumeambiwa tuwe wapole jamani, tuendelee kuwa wapole tuone yajayo!
View attachment 3694104
Hapo ndipo CCM mnatakiwa kuelewa kwamba mnapoamua kutoa shutuma za uongo angalau muwe na akili.Katibu mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Faris Burhani, amekosoa uadilifu wa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche, akidai kuwa alitaka kukiuza chama chake na kutoroka nchini na begi la fedha.
Na shs ngapi??Alitaka kumuuzia nani?
Afu unakuta ni mwanaume amekaa chini akaja na uzi kama huu tabia nyingine ni za kike kabisa.Hizi akili nyingine mimi sizielewi kabisa. Halafu kesho utasikia ni Mkuu wa Mkoa huyo .... Sasa pesa hizi za Madafu ukimbie nazo nje utazifanyia nini .... halafu begi moja...!!?
Alitaka kukiuza chama kwa nani? Au mlishindwana biashara sasa upande wa pili wa biashara (Buyers) mnaanza kupagawa baada ya (Seller) kuwa mgumu au kuwa na dau kubwa?Katibu mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Faris Burhani, amekosoa uadilifu wa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche, akidai kuwa alitaka kukiuza chama chake na kutoroka nchini na begi la fedha.
Faris anaendelea kwa kusema "tunachomuomba Heche awe mpole, tutashughulika naye, mafaili yake tunayo, siku yake ipo"
Kauli hizi za Faris Burhan alizozungumza katika Mkutano na vijana wa UVCCM Dodoma mnamo tarehe 19 Oktoba 2026, zinaashiria kuna mambo mengi kuhusu Heche ambayo yanaomuonesha Heche kutokuwa muadilifu.
Tumeambiwa tuwe wapole jamani, tuendelee kuwa wapole tuone yajayo!
View attachment 3694104
Hivi CCM hamuvionagi vyama vingine zaidi CDM? Kila fisadi lazima azungumzie chadema as if ndicho chama pekee cha upinzani. Hili linathibitisha kuwa CDM ndicho chama kikubwa cha siasa TanganyikaKatibu mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Faris Burhani, amekosoa uadilifu wa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche, akidai kuwa alitaka kukiuza chama chake na kutoroka nchini na begi la fedha.
Faris anaendelea kwa kusema "tunachomuomba Heche awe mpole, tutashughulika naye, mafaili yake tunayo, siku yake ipo"
Kauli hizi za Faris Burhan alizozungumza katika Mkutano na vijana wa UVCCM Dodoma mnamo tarehe 19 Oktoba 2026, zinaashiria kuna mambo mengi kuhusu Heche ambayo yanaomuonesha Heche kutokuwa muadilifu.
Tumeambiwa tuwe wapole jamani, tuendelee kuwa wapole tuone yajayo!
View attachment 3694104
Heche ndo habari ya mjini. Kila mtu wa CCM yeye na heche tu basi itakuwa anawepelekea pumzi ya moto kila uchao.Katibu mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Faris Burhani, amekosoa uadilifu wa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche, akidai kuwa alitaka kukiuza chama chake na kutoroka nchini na begi la fedha.
Faris anaendelea kwa kusema "tunachomuomba Heche awe mpole, tutashughulika naye, mafaili yake tunayo, siku yake ipo"
Kauli hizi za Faris Burhan alizozungumza katika Mkutano na vijana wa UVCCM Dodoma mnamo tarehe 19 Oktoba 2026, zinaashiria kuna mambo mengi kuhusu Heche ambayo yanaomuonesha Heche kutokuwa muadilifu.
Tumeambiwa tuwe wapole jamani, tuendelee kuwa wapole tuone yajayo!
View attachment 3694104
Eti hili tahira nalo ni likiongozi la ccm ndio maana lichama limekufa.Katibu mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Faris Burhani, amekosoa uadilifu wa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche, akidai kuwa alitaka kukiuza chama chake na kutoroka nchini na begi la fedha.
Faris anaendelea kwa kusema "tunachomuomba Heche awe mpole, tutashughulika naye, mafaili yake tunayo, siku yake ipo"
Kauli hizi za Faris Burhan alizozungumza katika Mkutano na vijana wa UVCCM Dodoma mnamo tarehe 19 Oktoba 2026, zinaashiria kuna mambo mengi kuhusu Heche ambayo yanaomuonesha Heche kutokuwa muadilifu.
Tumeambiwa tuwe wapole jamani, tuendelee kuwa wapole tuone yajayo!
View attachment 3694104
Chadema ilishavuka huko ukitaka kujua angalia wanavyopigwa kila mahala ikiwemo mahakamanHarakati za kumuvua uongozi heche pale chadema. Hizi ndio danadana za CCM.
Soon utasikia msajili wa vyama vya siasa - "jaji mitungi" anaingilia kati.