Faris: Heche alitaka kukimbia na begi la pesa, aliiuza Chadema, leo tunampapasa

Na hao ndio vipanga huko UVCCM hakika ni maajabu.

Hivi zama hizi kuna mtu anaweka pesa kwenye mabegi ?
 
Then utasikia amekua mkuu wa mkoa x na anakua waziri wa sheria asee waafrika cc ni manyani
 
Falesi anazungumza ukweli! Kuna move imeandaliwa! Fuatilia Clip ya Mange utaelewa!
 
Kama ni kweli au hapana muda utaongea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…