Farouk Kibet, msaidizi wa Rutto ataka wakenya wanaokuja Tanzania kufanya mambo ya kihuni wakamatwe wafungwe

Farouk Kibet, msaidizi wa Rutto ataka wakenya wanaokuja Tanzania kufanya mambo ya kihuni wakamatwe wafungwe

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
20,711
Reaction score
31,331
Sasa kumekucha! Mama Samia anaungwa mkono kila upande. Wakija tena sasa hivi breki ya kwanza SegereMatata.

 
Acha upuuzi, huyo sio msaidizi wa Ruto kwanza hana chochote unaleta ujinga hapa.
 
Actualy si msaidizi wa ruto na hana madaraka kwenye serikal ya kenya.
So ni mwanasiasa loyalist wa ruto ila ana cheo chochote
Farouk Kibet si PA wa Ruto???

Kwa hiyo Gachagua alikuwa anadanganya !! Gachagua amekuwa anamrefer kama PA wa Ruto siu zote sikiliza interview zake.
 
Farouk Kibet si PA wa Ruto???

Kwa hiyo Gachagua alikuwa anadanganya !! Gachagua amekuwa anamrefer kama PA wa Ruto siu zote sikiliza interview zake.
Farouk Kibet ni PA wa Ruto na watu wanamlinganisha na Nicholas Biwott alivyokuwa msaidizi wa Rais Moi.
Kibet ni mojawapo wa watu wenye nguvu sana kwenye Serikali ya Ruto.
 

Attachments

  • 20250517_183018.jpg
    20250517_183018.jpg
    39.8 KB · Views: 48
Actualy si msaidizi wa ruto na hana madaraka kwenye serikal ya kenya.
So ni mwanasiasa loyalist wa ruto ila ana cheo chochote
Huyo ndo co-president wa Kenya kwa taarifa yako…. Asemayo ndio maneno ya Ruto!
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Back
Top Bottom