YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Kenya haya matangazo yalikuwa mengi Sana lengo likiwa kumtangaza mganga apige pesa wagawane na mwandishi wa habari.Sababu wengi waliuliza mwandishi.mganga yuko wapi anawaelekeza mganga akipata anampa parcent yakeDuuh jamaa mtaalamu wake yupo vizuri,wengi watamfuata awapeleke wakapewa hilo zindiko
Watu wakapigwa pesa Sana na waganga waongo vyombo vya habari vikapiga marufuku utapeli huo wa matangazo
Abiria chunga mzigo wako .Ukipigwa usiseme si kukutonya
Mengine maigizo ya mtego wa kunasia panya .Sogea unaswe