Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu sorry, wewe yamewahi kukukuta?Sijui uume una kemikali gani,yaani ukikupitia tu lazima watu wajue.
AiseeHii ndio fashion aliyekuja nayo mkali wa Bongofleva hapa Tanzania.
Ukipata Nafasi ya Kukutana na Msanii Barnaba AKA Mopao Mkali wa Fashion
Je Utampa Neno Gani. kwa Fashion hii.???
View attachment 1912776
Duh!!,jamaa Nilikuwa namuona wa maana Kumbe hamna kitu.Barnaba wa THT 😀
Hakuna jipya chini ya JuaHii ndio fashion aliyekuja nayo mkali wa Bongofleva hapa Tanzania.
Ukipata Nafasi ya Kukutana na Msanii Barnaba AKA Mopao Mkali wa Fashion
Je Utampa Neno Gani. kwa Fashion hii.???
View attachment 1912776
Amerukwa na akili!
HahahahahHuyo dogo tayari mdudu keshaingia kwenye embe.[emoji276]