GODZILLA
JF-Expert Member
- Dec 26, 2014
- 5,909
- 10,542
Poleni SANA, kwa kumsema hapa na kupoteza muda wenu kwenye akaunti zenu hamna hela zilizoingia, ila yeye naamini wiki hii tu ameingiza mamilioni, na zaidi anapata madili makubwa ya kua judge kwenye East African got talent, it is not the matter of body or beauty but brains, kama brain hamna kitu basi wewe hauna manufaa kuishi, hao wenye matako makubwa na uzuri wa kuchorwa ambao. Hawajui hata kusema neno hi! au kusalimia salamu ya asubuhi kwa kiingereza, wao wana nini cha ziada zaidi maumbo yao ya kutengeneza kwa mchina?
Body shaming is very bad. Hawa waswahili wanajifanya wachambuzi wa miili ya watu wakati mama zao wenyewe hawauziki hata kwa mia mbili.