Fashion mpya ya Vanessa Mdee

Fashion mpya ya Vanessa Mdee

Poleni SANA, kwa kumsema hapa na kupoteza muda wenu kwenye akaunti zenu hamna hela zilizoingia, ila yeye naamini wiki hii tu ameingiza mamilioni, na zaidi anapata madili makubwa ya kua judge kwenye East African got talent, it is not the matter of body or beauty but brains, kama brain hamna kitu basi wewe hauna manufaa kuishi, hao wenye matako makubwa na uzuri wa kuchorwa ambao. Hawajui hata kusema neno hi! au kusalimia salamu ya asubuhi kwa kiingereza, wao wana nini cha ziada zaidi maumbo yao ya kutengeneza kwa mchina?

Body shaming is very bad. Hawa waswahili wanajifanya wachambuzi wa miili ya watu wakati mama zao wenyewe hawauziki hata kwa mia mbili.
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Maoni si mabaya ila umetoa dharau si vyema,mi demu asie na msambwanda naweza lala nae uchi hadi asubuhi tukiongelea stori za fundi maiko na mabaharia ,hii haimaanishi wembamba sio wazuri au hawavutii ni hawanivutii mimi na nawaheshimu wengi shemeji zangu na marafiki wa kufaana ..kindly respect them
 
Apo angeonyesha papuchi kabisa ingependeza...apo utashangaa kuona mwanaume anamlilia binti wa aina hii
 
Maoni si mabaya ila umetoa dharau si vyema,mi demu asie na msambwanda naweza lala nae uchi hadi asubuhi tukiongelea stori za fundi maiko na mabaharia ,hii haimaanishi wembamba sio wazuri au hawavutii ni hawanivutii mimi na nawaheshimu wengi shemeji zangu na marafiki wa kufaana ..kindly respect them
The same to me, kama demu hana tunyama nyama wala hata simuwazi naona kama nimekaa na dume mwenzangu.
 
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Akisena Akiwa Mbeya
Hivi Yule Aliyekumbatiwa Angekuwa Binti Yangu
Ningewazaba Vibao Wote Wawili, Bila Shaka Huyo Kama Ni Binti Yako.........
asinge kanyaga kwangu tena na ningemwambia mimi baba yako sikupaswa kuona uchi wako.
 
Huyo hata akae uchi...na hizo mifupa hakuna anayeweza kugeuka.
Angekuwa yule dogo lake mimi mars angezua balaa hadi basata wangeingilia kati...
 
Back
Top Bottom