OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Kuna Sukuma gang na nini sijui gang
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wote wamo ndani ya CCM inayojivunia kutawala nchi baada ya mkoloni!INAHITAJIKA MIAFAKA siyo MUAFAKA.
Kuna harufu ya mparaganyiko kila mahali. Ni kama tuna nchi moja yenye mataifa mengi ndani yake. Badala ya muafaka wa kitaifa, inahitajika miafaka kadhaa ili kuunda muafaka mmoja.
CCM =ACT[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wapinzani!
Katiba mpya vs Nusu katiba mpya.
Yaani Chadema vs ACT wazalendo
Hebu jifanye wewe ni Bagonza halafu uandike ki uvccm ccm, tupime uwezo wako wa kufikiriBagonza anawaza kibavicha bavicha, tena bavicha ya mitandaoni
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Yasemekana mwaka wa uchaguzi ndani ya chama, tutarajie fagio wasioimba wimbo wa Mama.Ni kweli kabisa, naiona CCM - Makamba na CCM - Mpina, ila CCM Makamba wasije kumtengenezea zengwe Mpina ili aondoke bungeni.
Namba3 hapo serikali yaINAHITAJIKA MIAFAKA siyo MUAFAKA.
Kuna harufu ya mparaganyiko kila mahali. Ni kama tuna nchi moja yenye mataifa mengi ndani yake. Badala ya muafaka wa kitaifa, inahitajika miafaka kadhaa ili kuunda muafaka mmoja.
1. CCM si moja. Kuna CCM-Mpina na CCM-January. Kuna CCM-Mwendazake na CCM-Samia. Kuna CCM-Asili na CCM-Yatima. Hizi CCM zote zinahitaji muafaka ili tupate CCM moja.
2. Wapinzani si wamoja. Kuna wapinzani-Katiba Mpya na Wapinzani-Nusu Katiba Mpya. Kuna wapinzani-Mtungi na Wapinzani-Mahela. Kuna Wapinzani-Zanzibar huru na Wapinzani-Zanzibar Mkoa. Unahitajika muafaka kati ya wapinzani kabla ya muafaka wa kitaifa.
3. Serikali si moja. Kuna serikali awamu ya 5 rais wa sita na Serikali awamu ya sita rais wa sita. Kuna serikali-2025 na Serikali-2030. Hizi serikali zinahitaji muafaka.
4. Kuna bunge-live na bunge-giza. Kuna bunge-haramu ndani jengo halali na bunge-halali nje ya jengo halali. Kuna sheria halali zilizotungwa na bunge haramu.
5. Kuna Polisi-Tii sheria bila shuruti na Polisi-Tii shuruti bila sheria. Kuna IGP bila Polisi na Polisi bila IGP.
Unashangaa? Tanzania ni eneo la utalii. Kila kitu ni kiburudisho. Hatuambukizani Corona, tunaambukizana tabia. Mwenyekiti wa msiba anamuiga Spika namna ya kuongoza kikao cha mazishi. Askofu anamuiga OCD ili kuongoza kanisa. Kocha wa Simba anamuiga kocha wa Yanga lakini anafungwa mengi kuliko Yanga.
Bei ya mafuta imepandisha hata rushwa ya barabarani.
namba3 nimeielewa serikali ya awamu ya5 rais wa6 ndiyo sahihi.kuna Sukuma gang na nini sijui gang
Serikali haina dini hivyo maneno ya Bagonza huchukuliwa kama maoni ya wananchi wengine na si zaidi ya hapo, kwahiyo hata wakiwa akina Bagonza 1000 hakuna tofauti.Mungu wetu wa mbinguni angetupatia viongozi wa Dini 100 wa mfano wa Bagonza basi serikali ingetambua Ni mwajiriwa na wananchi na sio mnyapara wa wananchi.
Asante Baba Askofu Mungu aendee kukujaza Hekima .
dada embu kunywa fanta hapo nakuja kukulipia aunt yangu, nasikia inasaidia kupunguza stress kdgUsiniletee mimi stresa zako za nyumbani kwenu hapa!
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
haahhahahahhahhahaha!unasema inaonekana ni nani??????Kakudhalilisha sana. Anakuzeesha kabla ya wakati. Kakuita dada, wakati wewe kwa namna ulivyoandika, inaonekana ni binti mdogo.
hahahahhahaahMawazo na maoni yako yamekaa kidadadada
Yake yana mshindaINAHITAJIKA MIAFAKA siyo MUAFAKA.
Kuna harufu ya mparaganyiko kila mahali. Ni kama tuna nchi moja yenye mataifa mengi ndani yake. Badala ya muafaka wa kitaifa, inahitajika miafaka kadhaa ili kuunda muafaka mmoja.
1. CCM si moja. Kuna CCM-Mpina na CCM-January. Kuna CCM-Mwendazake na CCM-Samia. Kuna CCM-Asili na CCM-Yatima. Hizi CCM zote zinahitaji muafaka ili tupate CCM moja.
2. Wapinzani si wamoja. Kuna wapinzani-Katiba Mpya na Wapinzani-Nusu Katiba Mpya. Kuna wapinzani-Mtungi na Wapinzani-Mahela. Kuna Wapinzani-Zanzibar huru na Wapinzani-Zanzibar Mkoa. Unahitajika muafaka kati ya wapinzani kabla ya muafaka wa kitaifa.
3. Serikali si moja. Kuna serikali awamu ya 5 rais wa sita na Serikali awamu ya sita rais wa sita. Kuna serikali-2025 na Serikali-2030. Hizi serikali zinahitaji muafaka.
4. Kuna bunge-live na bunge-giza. Kuna bunge-haramu ndani jengo halali na bunge-halali nje ya jengo halali. Kuna sheria halali zilizotungwa na bunge haramu.
5. Kuna Polisi-Tii sheria bila shuruti na Polisi-Tii shuruti bila sheria. Kuna IGP bila Polisi na Polisi bila IGP.
Unashangaa? Tanzania ni eneo la utalii. Kila kitu ni kiburudisho. Hatuambukizani Corona, tunaambukizana tabia. Mwenyekiti wa msiba anamuiga Spika namna ya kuongoza kikao cha mazishi. Askofu anamuiga OCD ili kuongoza kanisa. Kocha wa Simba anamuiga kocha wa Yanga lakini anafungwa mengi kuliko Yanga.
Bei ya mafuta imepandisha hata rushwa ya barabarani.
Atumie nafasi yake na mamlaka aliyopewa na Mungu (kama ni kweli) kuwabadilisha waumini wake kwanza. Yaani, kwanza atoe boriti jichoni kwakeINAHITAJIKA MIAFAKA siyo MUAFAKA.
Kuna harufu ya mparaganyiko kila mahali. Ni kama tuna nchi moja yenye mataifa mengi ndani yake. Badala ya muafaka wa kitaifa, inahitajika miafaka kadhaa ili kuunda muafaka mmoja.
1. CCM si moja. Kuna CCM-Mpina na CCM-January. Kuna CCM-Mwendazake na CCM-Samia. Kuna CCM-Asili na CCM-Yatima. Hizi CCM zote zinahitaji muafaka ili tupate CCM moja.
2. Wapinzani si wamoja. Kuna wapinzani-Katiba Mpya na Wapinzani-Nusu Katiba Mpya. Kuna wapinzani-Mtungi na Wapinzani-Mahela. Kuna Wapinzani-Zanzibar huru na Wapinzani-Zanzibar Mkoa. Unahitajika muafaka kati ya wapinzani kabla ya muafaka wa kitaifa.
3. Serikali si moja. Kuna serikali awamu ya 5 rais wa sita na Serikali awamu ya sita rais wa sita. Kuna serikali-2025 na Serikali-2030. Hizi serikali zinahitaji muafaka.
4. Kuna bunge-live na bunge-giza. Kuna bunge-haramu ndani jengo halali na bunge-halali nje ya jengo halali. Kuna sheria halali zilizotungwa na bunge haramu.
5. Kuna Polisi-Tii sheria bila shuruti na Polisi-Tii shuruti bila sheria. Kuna IGP bila Polisi na Polisi bila IGP.
Unashangaa? Tanzania ni eneo la utalii. Kila kitu ni kiburudisho. Hatuambukizani Corona, tunaambukizana tabia. Mwenyekiti wa msiba anamuiga Spika namna ya kuongoza kikao cha mazishi. Askofu anamuiga OCD ili kuongoza kanisa. Kocha wa Simba anamuiga kocha wa Yanga lakini anafungwa mengi kuliko Yanga.
Bei ya mafuta imepandisha hata rushwa ya barabarani.
INAHITAJIKA MIAFAKA siyo MUAFAKA.

Ungepewa hata robo ya akili yake ungekuwa mwehu, lakini ndo hivyo umenyimwa Kila kitu umebakiza chuki tu.Bagonza anawaza kibavicha bavicha, tena bavicha ya mitandaoni
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Kama wewe ilivyokuwa huna hoja zaidi ya kumsifia dictator uchwaraKwahiyo huku unafikiri ukiwa dada kila mtu ni dada?
Bagonza hana hoja zaidi ya ubavicha tu