goldcall
JF-Expert Member
- Oct 20, 2017
- 446
- 606
Kichwa cha habari chahusika,
Habari za kazi ndugu zangu, tunaitambulisha kampuni yetu ya usambazaji wa chakura maofisini kwa jiji la Dar es salaam, wadau wa JF- msije kupata shida kwenda kula katika vibanda umiza sisi tupo kwa ajili yenu.
UBORA KATIKA KAZI:
1. Chakula kinaandaliwa na ma chef wazoefu waliosomea kazi ya upishi
2. Usafi na ubora ni kipaumbele cha kampuni yetu
3. Packaging nzuri na usafi wa hali ya juu sana
4. usafi kwa anaye kupatia chukura akiwa amevalia groves mkononi, mask, eploni,kofia yaani usafi wa viwango vya juu sana
5. wafanyakazi wetu ni watu tulio waamini na wameokoka hakuna janja janja!
Karibu
ikiwa kama ofisi, mnahitaji huduma, basi nimeambatanisha fomu, mnaweza kuijaza na kututumia katika email ili tuwafikie ndugu zetu,