Hiyo tzee Gate vipi tena bwashee Seran😅Dah Bro.
Hebu tufikishe 40 yrs kwanza.
Game ya France sijui itanikutaje.
Ni Muhim kuangalia.
View attachment 3629152
Hivi ni kwanini ? Au nioe niniHuwezi kuacha pombe wewe!
Delivery ni free?Ni biashara ya kudumu na ni kampuni, pikipiki na ari zipo mkuu!
Ukioa ndio utazuiwa na mkeo au?Hivi ni kwanini ? Au nioe nini
Hivi ni kwanini ? Au nioe nini
Au nisiache tu mpaka nife bwasheeHata ukioa. Bado tu utachabanga bia.
ila niamin..kuna muda utafika tutaacha.
Trust the process bro.
Shem wangu kabisa. Kuna vijana watatu tu ndio delivery wanafanya free. 😊😊😊Delivery ni free?
SidhaniUkioa ndio utazuiwa na mkeo au?
Hapana Bro . Hatufi.Au nisiache tu mpaka nife bwashee
Niunganishe na kijana mmoja awe ananiletea, we don't know what the future holds shem darling😊Shem wangu kabisa. Kuna vijana watatu tu ndio delivery wanafanya free. 😊😊😊
Ukiokoka utaacha otomatik..Sidhani
Package yako ni special shem.Niungaishe na kijana mmoja awe ananiletea, we don't know what the future holds shem darling😊
Sana tu!Hiyo hapo chini ulisha igonga?
View attachment 3629163
La hovyo 😆 akili inarukaSana tu!
Aww shem hapo kwenye kush, u nailed it!👌Package yako ni special shem.
itakuja na Kush kabisa.😊😊😊
Ila vijana hawa wa delivery hawaaminiki.
Kuna kijana mmoja kutoka katoro.
Mtoto wa yule GSM wa katoro. Ndio atakuletea package yako.
Adimu sana kabisa kabisa 😊😊😊😊
Wala iko poa tu, changanya na Jd ujionee mambo🫠La hovyo 😆 akili inaruka
Hauna nia ya mimi kuacha monde wewe 🤣Wala iko poa tu, changanya na Jd ujionee mambo🫠