Fast food kwa wafanyakazi wa maofisini Dar es salaam, Karibuni sana

Fast food kwa wafanyakazi wa maofisini Dar es salaam, Karibuni sana

Vingne unalipia.

ila hii huduma ya ndizi 1 na mayai mawili tumejiongeza tu sisi tunaofanya delivery.

Kuwa pengne Wadada weng watahitaj delivery na pia huduma kama hiyo. 😊😊😊 kwahiyo tukaiweka na yenyewe hapo.

Pia utachagua nan atakuletea Chakula chako.
Ofisin pia tuna vijana weng wa kudeliver,
Kwa uchache tuko pia na Mbaga Jr na min -me.😊😊😊
Tawire 🤝
 
Back
Top Bottom