King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,227
- 98,761
Bei za kizawa.Kichwa cha habari chahusika,
Habari za kazi ndugu zangu, tunaitambulisha kampuni yetu ya usambazaji wa chakura maofisini kwa jiji la Dar es salaam, wadau wa JF- msije kupata shida kwenda kula katika vibanda umiza sisi tupo kwa ajili yenu.
UBORA KATIKA KAZI:
1. Chakula kinaandaliwa na ma chef wazoefu waliosomea kazi ya upishi
2. Usafi na ubora ni kipaumbele cha kampuni yetu
3. Packaging nzuri na usafi wa hali ya juu sana
4. usafi kwa anaye kupatia chukura akiwa amevalia groves mkononi, mask, eploni,kofia yaani usafi wa viwango vya juu sana
5. wafanyakazi wetu ni watu tulio waamini na wameokoka hakuna janja janja!
Karibu ujiunge katika group la whatsapp kupata huduma zetu.
JSL TASTER AND TUNE LIMITED ๐๐ฒ๐ฅ๐ฎ๐ฅ๐๐ฒ๐๐๐
ikiwa kama ofisi, mnahitaji huduma, basi nimeambatanisha fomu, mnaweza kuijaza na kututumia katika email ili tuwafikie ndugu zetu,
AINA YA VYAKURA
SUMMARY ITEMS PRICE wali nyama item 3,500.00 wali mbogamboga item 2,500.00 wali kuku item 5,000.00 wali Samaki item 4,000.00 wali Njegele/Nyama item 4,000.00 Pilau nyama item 4,000.00 Pilau Kuku item 5,000.00 Pilau Njegele item 3,500.00 Ugali nyama item 2,500.00 ugali mbogamboga item 2,000.00 Ugali kuku Mkavu item 4,500.00 Ugali Samaki Mkavu item 4,000.00 BILIANI nyama item 7,000.00 BILIANI KUKU item 8,000.00 Beaf Ugari/wali mbogamboga item 12,000.00 SATO Ugari/wali mbogamboga item 15,000.00 NDIZI UTUMBO item 6,000.00
[td]
1
[/td]
[td]
2
[/td]
[td]
3
[/td]
[td]
4
[/td]
[td]
5
[/td]
[td]
6
[/td]
[td]
7
[/td]
[td]
8
[/td]
[td]
9
[/td]
[td]
10
[/td]
[td]
11
[/td]
[td]
12
[/td]
[td]
13
[/td]
[td]
14
[/td]
[td]
15
[/td]
[td]
16
[/td]
[td]
17
[/td]
Biriani gan unahitaj ndugu mteja.Mie nataka biriyani.
Kwani Kuna aina ngapi za biryani?Biriani gan unahitaj ndugu mteja.
Uko wap? Maana tunafanya na delivery.
Naomba fungua dm yako tupate maelezo zaid tafadhali๐๐๐
Tunazo zote Ndugu mteja.Kwani Kuna aina ngapi za biryani?
๐๐๐๐,na lite.Tunazo zote Ndugu mteja.
Biriyan kuku, ngombe, mbuzi
Na hizi zote tunakuwekea na Mayai mawili na ndizi moja free ๐๐๐๐
Free wakati nimelipia?Tunazo zote Ndugu mteja.
Biriyan kuku, ngombe, mbuzi
Na hizi zote tunakuwekea na Mayai mawili na ndizi moja free ๐๐๐๐
astagafurirah. Hatuuzi bia ndugu mteja.๐๐๐๐,na lite.
Vipi,na "njegele" utakula au utakunywa mchuzi wa "njegere"?Kwakweli mimi sili chakura, ninakula chakula
Nitakuja kula.astagafurirah. Hatuuzi bia ndugu mteja.
Ni ndizi 1 na mayai mawili. ๐๐๐๐
Kwa SGR na kwa ndege,umefikiwa.Mkuu ni dar tu! Au na mikoani unafanya delivery?
Wateja ndio wanataka sasa utawapangia?astagafurirah. Hatuuzi bia ndugu mteja.
Ni ndizi 1 na mayai mawili. ๐๐๐๐
Vingne unalipia.Free wakati nimelipia?
Naomba tukufanyie Delivery tafadhali.Nitakuja kula.
Well done,Kichwa cha habari chahusika,
Habari za kazi ndugu zangu, tunaitambulisha kampuni yetu ya usambazaji wa chakura maofisini kwa jiji la Dar es salaam, wadau wa JF- msije kupata shida kwenda kula katika vibanda umiza sisi tupo kwa ajili yenu.
UBORA KATIKA KAZI:
1. Chakula kinaandaliwa na ma chef wazoefu waliosomea kazi ya upishi
2. Usafi na ubora ni kipaumbele cha kampuni yetu
3. Packaging nzuri na usafi wa hali ya juu sana
4. usafi kwa anaye kupatia chukura akiwa amevalia groves mkononi, mask, eploni,kofia yaani usafi wa viwango vya juu sana
5. wafanyakazi wetu ni watu tulio waamini na wameokoka hakuna janja janja!
Karibu ujiunge katika group la whatsapp kupata huduma zetu.
JSL TASTER AND TUNE LIMITED ๐๐ฒ๐ฅ๐ฎ๐ฅ๐๐ฒ๐๐๐
ikiwa kama ofisi, mnahitaji huduma, basi nimeambatanisha fomu, mnaweza kuijaza na kututumia katika email ili tuwafikie ndugu zetu,
AINA YA VYAKURA
SUMMARY ITEMS PRICE wali nyama item 3,500.00 wali mbogamboga item 2,500.00 wali kuku item 5,000.00 wali Samaki item 4,000.00 wali Njegele/Nyama item 4,000.00 Pilau nyama item 4,000.00 Pilau Kuku item 5,000.00 Pilau Njegele item 3,500.00 Ugali nyama item 2,500.00 ugali mbogamboga item 2,000.00 Ugali kuku Mkavu item 4,500.00 Ugali Samaki Mkavu item 4,000.00 BILIANI nyama item 7,000.00 BILIANI KUKU item 8,000.00 Beaf Ugari/wali mbogamboga item 12,000.00 SATO Ugari/wali mbogamboga item 15,000.00 NDIZI UTUMBO item 6,000.00
[td]
1
[/td]
[td]
2
[/td]
[td]
3
[/td]
[td]
4
[/td]
[td]
5
[/td]
[td]
6
[/td]
[td]
7
[/td]
[td]
8
[/td]
[td]
9
[/td]
[td]
10
[/td]
[td]
11
[/td]
[td]
12
[/td]
[td]
13
[/td]
[td]
14
[/td]
[td]
15
[/td]
[td]
16
[/td]
[td]
17
[/td]
Ndugu Mteja. huduma za kuleta bia hatuna .Wateja ndio wanataka sasa utawapangia?
Yes Zimekuwa Certified na Halal certification wa TZ.HIZO NYAMA NI HALAL ?
Hakika bwashee ๐ ila pombe , hauwezi amini leo niliweka lengo la kuacha pombe kwa muda ila now nipo kitandani naning'inia na Jack Daniel c.c. Seran leo dadaVingne unalipia.
ila hii huduma ya ndizi 1 na mayai mawili tumejiongeza tu sisi tunaofanya delivery.
Kuwa pengne Wadada weng watahitaj delivery na pia huduma kama hiyo. ๐๐๐ kwahiyo tukaiweka na yenyewe hapo.
Pia utachagua nan atakuletea Chakula chako.
Ofisin pia tuna vijana weng wa kudeliver,
Kwa uchache tuko pia na Mbaga Jr na min -me.๐๐๐
Dah Bro.