Fast food kwa wafanyakazi wa maofisini Dar es salaam, Karibuni sana

Au nisiache tu mpaka nife bwashee
Hapana Bro . Hatufi.
Ila Tutaacha Tu. Lakin si9 Leo. Kuna muda mwil utaakataa.

Mfano . Mm pace niliyonayo sasahiv sio ile niliyokuwa nayo 10 yrs ago.
na nitaacha. Maana sikuhizi sitaman sana mabia.

Hakuna mpya huku.
 
Niungaishe na kijana mmoja awe ananiletea, we don't know what the future holds shem darling😊
Package yako ni special shem.
itakuja na Kush kabisa.😊😊😊

Ila vijana hawa wa delivery hawaaminiki.
Kuna kijana mmoja kutoka katoro.
Mtoto wa yule GSM wa katoro. Ndio atakuletea package yako.
Adimu sana kabisa kabisa 😊😊😊😊
 
Aww shem hapo kwenye kush, u nailed it!πŸ‘Œ

Huyu kijana wa katoro mbona atanitia majaribuni sasa!😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…