Mimi kwakweli naenjoy kuziona tu ndani hata kama sinywi πHauna nia ya mimi kuacha monde wewe π€£
Tawire π€Vingne unalipia.
ila hii huduma ya ndizi 1 na mayai mawili tumejiongeza tu sisi tunaofanya delivery.
Kuwa pengne Wadada weng watahitaj delivery na pia huduma kama hiyo. πππ kwahiyo tukaiweka na yenyewe hapo.
Pia utachagua nan atakuletea Chakula chako.
Ofisin pia tuna vijana weng wa kudeliver,
Kwa uchache tuko pia na Mbaga Jr na min -me.πππ
Pombe zimejipanga ndani kama Tuzo sioπMimi kwakweli naenjoy kuziona tu ndani hata kama sinywi π
Mkoani mnatuma?Naomba tukufanyie Delivery tafadhali.
Ww ni mteja wa Muhimu sana kwetu.πππ
wala hayo maisha niliacha chuo! kidogo tu..Pombe zimejipanga ndani kama Tuzo sioπ
Hivi mtan wewe tungi ndio haugusi kabsa , unawekeza chini ya kitovu tu sio?Tawire π€
Kote kote napiga, ila tungi sio ya kulewa πHivi mtan wewe tungi ndio haugusi kabsa , unawekeza chini ya kitovu tu sio?
Acha tu , chuo nilikua nashtuliwa UE hiyo , ni vile tu uwezo binafsi ulinibebaπwala hayo maisha niliacha chuo! kidogo tu..
Safi , ila wapare na nyie mmeibukia kwenye ulevi , mwaka juzi nilikua usangi mnapiga vyombo sio poaπKote kote napiga, ila tungi sio ya kulewa π
Katoro Mamaa angu . Hapo tutakuletea na Helcopter ππππ.Mkoani mnatuma?
Nipo katoro.
Oke karibuNi biashara ya kudumu na ni kampuni, pikipiki na ari zipo mkuu!
Ahsantenamba yako nicheki hapo kwenye group la whatsapp
Bola hauri chakura maana ukira utahanza kurarararaKwakweli mimi sili chakura, ninakula chakula
Wabheja sana!yes kuanzia saa 5.30 hadi saa 9.00 alasili