Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
🤣🤣🤣Hakika inanichanganyaHauja zeeka Toto zuri, sema theme ya filamu Ina kuchanganya 😄😄
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣Hakika inanichanganyaHauja zeeka Toto zuri, sema theme ya filamu Ina kuchanganya 😄😄
Hahahaha,chizi huyo ,mwezi mchangaDah japo tuna Uhuru wa kuhabarika, ila wewe ni popoma 😄😄😄.
👉 Charles kilian, Poor Brain, Mtu Chake, Poor Brain, Kool the gang oneni hii njemba😄😄
Mule mule kaka[emoji109]Kwanza kuna utofauti mkubwa sana kati ya F&F na MI,zote ni genre ya action ila dimension tofauti.
Kwangu MI ni zaidi ya movie na ndo maana sitaki kuilinganisha na fast kwa sababu zifuatazo.
1-kwanza inasambaza AURA ya taifa la marekani na UK kwamba they live their own heights na hakuna kama wao.
2-Ni mojawapo ya magwaride yao ya kuonyesha EXCLUSIVE WEAPONS INNOVATION.
3-Ni tangazo la kibiashara kuhusu SOPHISTICATED TECHNOLOGY na biashara ya silaha ni mojawapo ya chanzo kikuu cha mapato kwa nchi hizo
4-Ni mojawapo ya njia ya kuonyesha ile theory ya CHARLES DARWIN ya survival of the fittest kwa kuonyesha ukubwa na ufanisi wa mashirika ya CIA na M16
5-Ni propaganda tool kwa western na westerners
Upande wa FAST&FARIOUS its all about street fights,heroism ya kitaa,brotherhood and meaning of love and relation
Nimeangalia series yake ambayo star ni benedict cumberbatchMtu Chake, Charles kilian, Dream Queen, Franky Samuel, Mvaa Kobazi, Kool the gang
[emoji117]Hii Sherlock Holmes 1&2 mli angalia ??
View attachment 2772628View attachment 2772629
Angalia single movie zake ni 🔥🔥🔥, kaigiza Robert djorney was iron Man.Nimeangalia series yake ambayo star ni benedict cumberbatch
Yule jamaa Ni kisanga, Kuna moja pia sci-fiTom cruise anamovie yake ambayo ataenda kuishoot on space [emoji849][emoji849][emoji849][emoji51]
HahahahahaHahahaha,chizi huyo ,mwezi mchanga
Bado huja sema 😄😂😂🤣🤣🤣Hakika inanichanganya
Sijamaanisha kiumri bali kimitizamo na uigizajiKwamba TOM CRUISE ni mtoto wa DIESEL?
Movie umeanza kuangalia lini boss?
#YNWA
Sasa wewe jamaa van diesel anamaajabu gani ya kumlinganisha na Tom cruise, vijana wengi waigizaji wanamuangalia Tom kama kiooSijamaanisha kiumri bali kimitizamo na uigizaji
Na ndicho niliichomaanisha.Sijamaanisha kiumri bali kimitizamo na uigizaji
mhhTom cruise anamovie yake ambayo ataenda kuishoot on space [emoji849][emoji849][emoji849][emoji51]
Kinyama..Gerald Butler ni kisanga kingine, ana jua sana
I movie mpya ya mfululizo wa white house has fallen, nasikia Ina kuja.Kinyama..
Mkuu punguza kilevi🤒The Rock
Itakuwa safi sanaI movie mpya ya mfululizo wa white house has fallen, nasikia Ina kuja.
👉😄 Charles kilian