Fast Furious vs Mission Impossible, ipi filamu yako bora?

Fast Furious vs Mission Impossible, ipi filamu yako bora?

Kwamba TOM CRUISE ni mtoto wa DIESEL?
Movie umeanza kuangalia lini boss?

#YNWA
Jamaa na ropoka upimbi, na sidhani Kama ata comment Tena😂😆.
👉Maana kaaibika kinyama
👉 Equalizer 3 Ume Iona??
Screenshot_20231003-123743.jpg
 
Nimekuwa mfatiliaji wa filamu hizo mbili, yaani fast & furious na mission impossible.

👉Na niseme pande zote mbili zimekuwa zikijitahidi kuwasiliana kazi iliyo bora zaidi.

Vin Diesel vs Tom Cruise nani anakukosha zaidi, katika filamu zao hizi.

👉Fast furius vs mission impossible.

View attachment 2771997View attachment 2771998
Sijawahi kuilewa fast and furious naona kila saa wanakimbiza magari,au nitakuwa nimezeeka Sasa eti???
 
Nimekuwa mfatiliaji wa filamu hizo mbili, yaani fast & furious na mission impossible.

👉Na niseme pande zote mbili zimekuwa zikijitahidi kuwasiliana kazi iliyo bora zaidi.

Vin Diesel vs Tom Cruise nani anakukosha zaidi, katika filamu zao hizi.

👉Fast furius vs mission impossible.

View attachment 2771997View attachment 2771998
Filamu Bora zaidi ni ile ya DP World na Watanzania ambayo tokea tuanze kuitizama hadi leo bado hatujaimaliza kutokana na Utamu wake.
 
Back
Top Bottom