Fast Furious vs Mission Impossible, ipi filamu yako bora?

Fast Furious vs Mission Impossible, ipi filamu yako bora?

Mimi ni miongoni mwa watu niliwahi kuwa mtazamaji bora sana wa hizi movies ambazo mmekuwa mkizichambua
Lakini kikapita kipindi bila kuziangalia basi ile hali ikanifanya nikawa mvivu sana wa kuangalia movies.
Natamani sana kuangalia movies hasa zile ambazo si za kutafsiriwa kwa manufaa yangu kadhaa but nashindwa sababu nimekuwa off mood na kuangalia movies.
Movie ya saa 2:30 inaweza nichukua week 1 hadi mbili kuimaliza.
Nipe mawazo mkuu
Polee sana mkuu ungekuwa unatenga mda uzicheki maana ni kalii sana kama siku za wiki una muda uwe unazicheki jumamosi na jumapili
 
Bourne km kuendelea,means anarudi langley kufanya kzi ,maana mission yake kai solve ,ktk Jason Bourne
Yeah, wish turudi zama za vyuma na vyuma.
👉Vipi hii uli Iona??
FB_IMG_16961811992986763.jpg
 
Labda unaweza nipa majina ya movies ambazo nikizicheki arosto ya movie itapanda haraka sana.
No time to die
👉Bullet train,
👉 Equalizer 1,2,3
👉Jason Bourne 1,2, 3 na nyingine
👉 Mission impossible 1-7
 
Nimekuwa mfatiliaji wa filamu hizo mbili, yaani fast & furious na mission impossible.

[emoji117]Na niseme pande zote mbili zimekuwa zikijitahidi kuwasiliana kazi iliyo bora zaidi.

Vin Diesel vs Tom Cruise nani anakukosha zaidi, katika filamu zao hizi.

[emoji117]Fast furius vs mission impossible.

View attachment 2771997View attachment 2771998
Fast and furious ni movies za moto sana,lakini hazishindi movies za jamaa mmoja anaitwa Gerard Batler,chek movie kama KANDAHAR au OLYMPUS HAS FALLEN, LONDON HAS FALLEN

Ni moto
 
Back
Top Bottom