Fast Furious vs Mission Impossible, ipi filamu yako bora?

Fast Furious vs Mission Impossible, ipi filamu yako bora?

Kwanza kuna utofauti mkubwa sana kati ya F&F na MI,zote ni genre ya action ila dimension tofauti.

Kwangu MI ni zaidi ya movie na ndo maana sitaki kuilinganisha na fast kwa sababu zifuatazo.
1-kwanza inasambaza AURA ya taifa la marekani na UK kwamba they live their own heights na hakuna kama wao.
2-Ni mojawapo ya magwaride yao ya kuonyesha EXCLUSIVE WEAPONS INNOVATION.
3-Ni tangazo la kibiashara kuhusu SOPHISTICATED TECHNOLOGY na biashara ya silaha ni mojawapo ya chanzo kikuu cha mapato kwa nchi hizo

4-Ni mojawapo ya njia ya kuonyesha ile theory ya CHARLES DARWIN ya survival of the fittest kwa kuonyesha ukubwa na ufanisi wa mashirika ya CIA na M16
5-Ni propaganda tool kwa western na westerners


Upande wa FAST&FARIOUS its all about street fights,heroism ya kitaa,brotherhood and meaning of love and relation
Mule mule kaka[emoji109]
 
Sijamaanisha kiumri bali kimitizamo na uigizaji
Na ndicho niliichomaanisha.

Diesel hawezi kumshinda cruise kwa uigizaji?
Unajua kuwa stant nyingi za Cruise (kama ile ya kupaa na pikipiki na kudandia ndege) ni live@real action??

#YNWA
 
Screenshot (45).png
Screenshot (44).png

Screenshot (42).png

Kazi ya kwenda sana tusubiri part 2 yake itaachiwa mwezi june mwakani
Screenshot (43).png
 
Back
Top Bottom