Adolph Jr
JF-Expert Member
- Nov 5, 2016
- 5,950
- 9,511
We bado dogo mno huwezi mlinganisha vin na huyo shoga mwenzioTom cruse ni mtoto???, Au ndo ume Shiba kiporo kwa shemeji🤔
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We bado dogo mno huwezi mlinganisha vin na huyo shoga mwenzioTom cruse ni mtoto???, Au ndo ume Shiba kiporo kwa shemeji🤔
Mkuu, kwa sasa F&F ni zaidi ya marvel 🙌🏿FF ilikuaga tamu enzi izo was about cars, street racing na ivo ila sasa imekua kama Marvel tu.
Iacheni MI ipewe heshima. Tom Cruise anajua aisee.
Tom cruise hana mpinzaniNime kuwa mfatiliaji wa filamu hizo mbili, yaani fast furious na mission impossible.
👉Na niseme pande zote mbili zimekuwa ziki Jitahidi kuwasiliana kazi iliyo Bora zaidi.
Vin Diesel vs TOm cruise nani ana kukosha zaidi, katika filamu zao hizi.
👉Fast furius vs mission impossible
View attachment 2771997View attachment 2771998
Jamaa ana jua, Kuna stunts nilikuwa naangalia ni 🔥🔥Tom cruise hana mpinzani
unapenda sci-fi?Aliens VS Predators
Bora kwangu ya mda wote
you insult me you do mean malice to me
Dah ukweli mchungu huu😂🤔Mkuu, kwa sasa F&F ni zaidi ya marvel 🙌🏿
za Paul W.S. Anderson, Yesunapenda sci-fi?
mpaka umelishika jina lake, misuli ile inakudatishaFast X,
Niliimaliza nikairudia muda huo huo,
Jason Momoa kanikosha sana mule ndani.
Nimeangalia mission impossible ya mwisho ilikua fallout ya 2018Jamaa ana jua, Kuna stunts nilikuwa naangalia ni 🔥🔥
Great minds discuss ideasWe bado dogo mno huwezi mlinganisha vin na huyo shoga mwenzio
Mpya Ime toka Kaka, Ina itwa dead reckoning ni 🔥🔥Nimeangalia mission impossible ya mwisho ilikua fallout ya 2018
mimi za steven spielberg zinanikoshaza Paul W.S. Anderson, Yes
Nita Jitahidi nifanye hivyo, maana nina list kubwaa ya movie na series.Businessman,,,,, tafuta Seal team uicheki unipe mrejesho
✌️Nita Jitahidi nifanye hivyo, maana nina list kubwaa ya movie na series.
👉Hapo Sija angalia equalizer 3
View attachment 2772066
Kiuhalisia mi team cruise mzee, nilikuwa nataka nicheki response ya watu.Acha kufananisha cruise na hiyo katuni. Fast and furious ilikuwa kipindi kile
Dah we jomba 😂😆😆, jaumpaka umelishika jina lake, misuli ile inakudatisha