Fast Furious vs Mission Impossible, ipi filamu yako bora?

Fast Furious vs Mission Impossible, ipi filamu yako bora?

Mzee hapa namalizia the 100😂 kila kona nipo hata movie za wahindi wahindi😂
Salute you, chuma kina kuja hichoo
FB_IMG_16962704202870574.jpg
 
mpaka umelishika jina lake, misuli ile inakudatisha
Hua nafatilia sana movies zake sio mule tu, kwani hukumuona kwenye SEE? AquaMan je? lakini nilianza kumuona kwenye Game of Thrones, nikamkubali kwenye Wolves, na kuendelea nae hadi kwenye Sweet Girl,

Misuli walaaa ila napenda lisauti lake, utani wake na akikasirikaaa
 
Back
Top Bottom