Fast Furious vs Mission Impossible, ipi filamu yako bora?

Mtu Chake huyu mkongwe mwenzio umesha muangalia.
Screenshot_20231003-145618.jpg
 
Sijawahi kuchoka kumtazama Tom cruise!... anajua sana yule mzee!

Kuna documentary niliwahi kutazama, inasemekana anaweza akawa ni mmoja wa maafisa usalama wa Marekani, maana anayajua mengi mno! Ana syndicate tele huwa anaziigiza kwenye movie zake lakini huwa anaziwasilisha indirectly! Kumuelewa inataka akili kubwa na wachache huwa wanamuelewa.

Hata inasemekana ni miongoni mwa actors wenye ulinzi mkali na mzito marekani na sehemu zingine (Inshort ni actor anayelindwa zaidi duniani! Na sio rahisi kukutana nae au kumuona ukamsogelea kama huku na kupiga nae story)... someni mtandaoni au tafuteni videos kama mnabishana na hili.

Ila hao wahuni hapo tangu afe Paul walker naona na mimi nilikufa nae 😂👍🏾
 
Hii movie ya mission impossible ni Kama huwa Wana tuonyesha Siri zao.
👉Kuna technology balaaa
 
Hapa tunasema mi, na fast na sio Jason momoa kama character, kwa upande wangu mission impossible ni hatari, fast sijawahi elewa ata moja, hivi mnacheza na tom, cha kwanza

Anacheza mwenyewe kila scene yani hadi za hatari kama jack chan
Tuko pamoja, mission ni 🔥🔥
 
Mission impossible ni habari nyingine nikupe fact

Soundtrack Kali
Action za kibabe
Storyline nzuri za kijasusi
Actor Yuko very active

Sema yote Kwa yote equalizer 3 ni Kali kuliko zote hapo bisha uone

Your bad man or good man

Roberto: I don't know [emoji91]
 
Back
Top Bottom