Kool the gang
JF-Expert Member
- Jul 18, 2022
- 497
- 1,465
Hahaha kwamba ulikuwa unavizia mrejesho wa watu hata hivyo Fast and Furious ilianza kupoteza mvuto baada ya ile ya Tano.Kiuhalisia mi team cruise mzee, nilikuwa nataka nicheki response ya watu.
👉Kama Wana ona ninacho kiona pia, fast ni zaidi ya avenger kwa Sasa.
Bourne km kuendelea,means anarudi langley kufanya kzi ,maana mission yake kai solve ,ktk Jason BourneNatamani Jason Bourne watu letee movie nyingine aisee.
👉 Mission, James bond na equalizer washa fanya yao
Polee sana mkuu ungekuwa unatenga mda uzicheki maana ni kalii sana kama siku za wiki una muda uwe unazicheki jumamosi na jumapiliMimi ni miongoni mwa watu niliwahi kuwa mtazamaji bora sana wa hizi movies ambazo mmekuwa mkizichambua
Lakini kikapita kipindi bila kuziangalia basi ile hali ikanifanya nikawa mvivu sana wa kuangalia movies.
Natamani sana kuangalia movies hasa zile ambazo si za kutafsiriwa kwa manufaa yangu kadhaa but nashindwa sababu nimekuwa off mood na kuangalia movies.
Movie ya saa 2:30 inaweza nichukua week 1 hadi mbili kuimaliza.
Nipe mawazo mkuu
Kama vipi watu letee series, wata Tisha Sana💪😆Kabisa ndo maana ni kalii sana waendelee kuzitoa zifike tano kama zile za james bond
Labda unaweza nipa majina ya movies ambazo nikizicheki arosto ya movie itapanda haraka sana.Polee sana mkuu ungekuwa unatenga mda uzicheki maana ni kalii sana kama siku za wiki una muda uwe unazicheki jumamosi na jumapili
Yeah, wish turudi zama za vyuma na vyuma.Bourne km kuendelea,means anarudi langley kufanya kzi ,maana mission yake kai solve ,ktk Jason Bourne
No time to dieLabda unaweza nipa majina ya movies ambazo nikizicheki arosto ya movie itapanda haraka sana.
Vipi bullet train Ume iangalia??Hahaha kwamba ulikuwa unavizia mrejesho wa watu hata hivyo Fast and Furious ilianza kupoteza mvuto baada ya ile ya Tano.
KabisaKama vipi watu letee series, wata Tisha Sana💪😆
Ngoja nianze na hizi kisha nitakupa mrejesho wa hali yangu baada ya wakati huo.No time to die
👉Bullet train,
👉 Equalizer 1,2,3
👉Jason Bourne 1,2, 3 na nyingine
👉 Mission impossible 1-7
Pamoja💪Ngoja nianze na hizi kisha nitakupa mrejesho wa hali yangu baada ya wakati huo.
Hii kitu hatari sana ,Denzel Washington as Frank Lucas
Yeah, ana kuambia in these world there are two things,Hii kitu hatari sana ,Denzel Washington as Frank Lucas
Kalii sana hiiMtu Chake, Charles kilian, Dream Queen, Franky Samuel, Mvaa Kobazi, Kool the gang
👉Hii Sherlock Holmes 1&2 mli angalia ??
View attachment 2772628View attachment 2772629
Ziko part 1 na 2, 3 sijui wata toa lini??Kalii sana hii
Ina series yake hiiZiko part 1 na 2, 3 sijui wata toa lini??
Vin disel alipigwa shaba kwenye captain ryanTom cruise ni habari nyingine ila Vin Disel sio wa kitoto.
Fast and furious ni movies za moto sana,lakini hazishindi movies za jamaa mmoja anaitwa Gerard Batler,chek movie kama KANDAHAR au OLYMPUS HAS FALLEN, LONDON HAS FALLENNimekuwa mfatiliaji wa filamu hizo mbili, yaani fast & furious na mission impossible.
[emoji117]Na niseme pande zote mbili zimekuwa zikijitahidi kuwasiliana kazi iliyo bora zaidi.
Vin Diesel vs Tom Cruise nani anakukosha zaidi, katika filamu zao hizi.
[emoji117]Fast furius vs mission impossible.
View attachment 2771997View attachment 2771998