mimi kama mmoja wa watu wanaosafiri sana niliposikia huduma mpya za fastjet tanzania kwa gharama nafuu ya Tsh 32000 nikasema mkombozi kafika Tanzania kwa watu wa Dar-Mwanza na KLM. Nikasema hvi kama napanda dar express dar to arusha kwa Tsh 28000 kwa masaa karibu kumi, leo naambiwa natumia Tsh32000 tu kwa muda wa saa 1 na dk kama 20 hv, kwanza nilistaajabu ktk hali iliyonifanya nijaribu kufanya utafiti wa hiyo fare yao.nilianza kwa kutembelea website yao ktk booking category.nilipoona jinsi mchanganuo wa cost yao ulivyo nikasema jamaa wameshajua kuwa watanzania ni watu wasiojua kufatilia jambo. Iko hivi fare exclusive vat and other cost ni Tsh 32000, ukibeba kabag kadogo utakalipia Tsh 8000, bag lisilozidi Kg 20(sport bag) utalilipia Tsh 32000. sasa hapa acha hiyo VAT ambayo ikianza kulipwa utalipa wewe, airport charge ambayo ni Tsh 10000.fanya sum utaona how much you should pay. kwa mantki hiyo watanzania hapa tumejidanganya wenyewe kwani kilichotumika ni busness tricks ktk kuvuta mind za clients. ndo mana kama mtafatilia gazeti la The Citizen la ijumaa iliyopita kama sikosei kuna mwakilishi toka precision airline kaelezea sana ktk hili na mwisho akasema hivi " Haitachukua muda kwa Watanzania kuelewa gharama halisi watakayolipa kwani ktk biashara hii ya usafiri utagundua gharama za uendeshaji zipo sawa na 40% ya mapato hutumika ktk oil" akaendelea kwa kusema hajaona drop down yoyote ktk booking yao kwa maana kuwa hawajaathiriwa vyovyote vile na ujio wa Fastjet zaidi ya kupata changamoto zaidi ktk uboreshaji wa huduma zao.
My take:
Ni wazi kuwa wenye ufahamu zaidi ktk huduma za usafiri wa anga wamegundua kuwa kama kuna diffence basi itakuwa ndogo na si kama inavyotamkwa na watu ktk vyombo vya habari. so tuwe tunasoma angalau watanzania wenzangu maana kila jambo ni sisi tu watanzania tunadanganywa thats too sad kusema kuwa hata wawekezaji wamegundua watanzania wengi ni mbumbumbu ktk masuala yanayowahusu wenyewe.
Nadhani ulikuwa likizo. Issue ya fastjet vs precision air imejadiliwa sana hapa, na hata business model inayotumiwa na fastjet. Hicho unakiita utafiti mimi naona ulipitiwa tu, maana matangazo yote ya fastjet yanasema bei ni kuanzia (from) 32,000 + government taxes & charges. Na kama unataka kupata unafuu kwenye nauli ya Fastjet unatakiwa ku-book mapema. Hii sio Dar express, ni fastjet - book early!
How to Book Online - Fastjet
[TABLE="width: 211"]
[TR]
[TD="class: xl63, width: 280, bgcolor: transparent, colspan: 2"]Dar es Salaam to Kilimanjaro (FN0151)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: xl64, width: 150, bgcolor: transparent"]Departure:[/TD]
[TD="class: xl65, width: 130, bgcolor: transparent, align: right"]25/01/2012 10:30[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: xl64, width: 150, bgcolor: transparent"]Arrival Time:[/TD]
[TD="class: xl65, width: 130, bgcolor: transparent, align: right"]25/01/2012 11:50[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: xl64, width: 150, bgcolor: transparent"]Fare:[/TD]
[TD="class: xl64, width: 130, bgcolor: transparent"]32,000 TZS[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: xl64, width: 150, bgcolor: transparent"]Taxes:[/TD]
[TD="class: xl64, width: 130, bgcolor: transparent"]11,040 TZS[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: xl64, width: 150, bgcolor: transparent"]Total:[/TD]
[TD="class: xl64, width: 130, bgcolor: transparent"]43,040 TZS[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: xl64, width: 280, bgcolor: transparent, colspan: 2"] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: xl64, width: 150, bgcolor: transparent"]Total fares and taxes:[/TD]
[TD="class: xl64, width: 130, bgcolor: transparent"]43,040 TZS[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: xl64, width: 150, bgcolor: transparent"]Total Baggage:[/TD]
[TD="class: xl64, width: 130, bgcolor: transparent"]0 TZS[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: xl66, width: 150, bgcolor: transparent"]Total payable:[/TD]
[TD="class: xl67, width: 130, bgcolor: transparent"]43,040 TZS[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Kwenye red: mambo ya kubebana na ndizi yatakugharimu. Kibag kidogo maana yake nini?
Kwenye blue: No-frills carriers ziko sehemu nyingi duniani, lakini kwa bahati mbaya Tanzania tulikuwa na 'almost monopoly'.