Offline User
JF-Expert Member
- Dec 20, 2010
- 3,828
- 2,393
Bado ni nafuu sana!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuna watu wameshaweka tiketi humu ya go an return hawa jamaa pamoja na cost zao zote ni very cheap huwezi fananisha na na precision air
Sina hakika na nauli lakini hii tabia ya KUDANGANYWA imezidi mno. Tunaambiwa ving'amuzi vinapatikana nchi nzima wakati SIO, hivi hawa watu HAWAMUOGOPI MUNGU?
Hiyo nauli ya elfu 32 ipo kweli? Leo nimetembelea mtandao wao sijaiona. Nauli ya chini kabisa Dar-KIA-Dar ni 218,000/-.
Hatuwalinganishi na Presion bali uongo uliopitiliza. Precision walipoanza safari za South Africa kwa USD 70 ilikuwa kweli kabisa, sio hawa Fastjet.
Book early, kama unataka bei nafuu. Lakini kama ni zima moto basi ujue bei nayo itakuwa zima moto. That's how it works!.
Jana nimesafiri toka Dar kuja KIA na Kesho narudi Dar kwa bei hiyo hiyo ya Sh. 86,000/= na nilikua na Begi la Kilo 12 nilipima, sikuchajiwa chochote. Kweli wabongo tunapenda kupiga domo bila utafiti. Fastjet wanatoa seat kadhaa kila trip kwa ajili ya promotion na ili uipate ukate mapema. Hata hivo bei zao hata bila promotion zipo chini na tayari Pressission wanakwenda mswaki.
Kwani hawaruhusu mtu kupanda na chapati zake?vile sikuhitaji kula kitu, sikulipa gharama nyingine zaidi ya hiyo.
Kwani hawaruhusu mtu kupanda na chapati zake?
Kwani hawaruhusu mtu kupanda na chapati zake?
Binafsi wasi wasi wangu ni kama hawa watu watadumu kwenye soko na bei hizi hizi!!
Unamaanisha nini?
Tunashukuru sana mkuu kwa data zako, inaonekana tofauti ya nauli ni kubwa sana! Jamaa walikuwa wanatu rip off vibaya sana - no wonder wameanza kuwa na wasi wasi na FastJet, na kuanza kutoa taharifa za upotoshaji/kukatisha tamaa wasafiri. Bravo FastJET.Nimejaribu kufanya booking kwenye website za kampuni husika kwa safari ya kwenda Kilimanjaro na kurudi Dar. Tarehe zinafanana na muda pia zinakaribiana so hakuna kisingizio hapo. Gharama ya ticket kwa mtu mmoja ni kama inavyoonekana hapo chini. [TABLE="class: grid, width: 500"] [TR] [TD]Company[/TD] [TD][/TD] [TD="align: center"]Date[/TD] [TD="align: center"]Depature[/TD] [TD="align: right"]Total Fare[/TD] [/TR] [TR] [TD]Fastjet[/TD] [TD]DAR-KIA[/TD] [TD="align: center"]8/12/2012[/TD] [TD="align: center"]19:30[/TD] [TD="align: right"]Tshs 107,040[/TD] [/TR] [TR] [TD][/TD] [TD]KIA-DAR[/TD] [TD="align: center"]12/12/2012[/TD] [TD="align: center"]21:35[/TD] [TD="align: right"]Tshs 75,040[/TD] [/TR] [TR] [TD][/TD] [TD][/TD] [TD][/TD] [TD="align: right"]Mizigo (2) bags[/TD] [TD="align: right"]Tshs 16,000[/TD] [/TR] [TR] [TD][/TD] [TD][/TD] [TD][/TD] [TD="align: right"]TOTAL[/TD] [TD="align: right"]Tshs 198,080[/TD] [/TR] [TR] [TD]Precision[/TD] [TD]DAR-KIA[/TD] [TD]8/12/2012[/TD] [TD="align: center"]20:20[/TD] [TD][/TD] [/TR] [TR] [TD][/TD] [TD]KIA-DAR[/TD] [TD]12/12/2012[/TD] [TD="align: center"]21:00[/TD] [TD][/TD] [/TR] [TR] [TD][/TD] [TD][/TD] [TD][/TD] [TD="align: right"]TOTAL[/TD] [TD="align: right"]US$ 343.60[/TD] [/TR] [/TABLE] Fastjet are very cheap compared to precision.
Spot on mkuu hata mimi nilitaka kutoa mfano huo huo, actually nafikili FastJet hiko affiliated na moja wapo ya kampuni ulizo taja hapo juu na zinafanya kazi bila wasi wasi na wanapata faida. Big Up Mkuu, mimi wasi wasi wangu nikufanyiwa hujuma na mizengwe na mapapa, abiria watapatikana kwa kuwa nauli haijazidiana sana na ya mabasi, we sema hata wamiliki wa mabasi wanaweza kuwafanyia hujuma. Ninacho washauri wawe wangalifu wanako nunua mafuta ya ndege yanaweza kuchakachuliwa kukatokea catastrophe.Mkuu hawa jamaa si wageni kwenye biashara hii ya ndege kwa nauli ndogo. Ukuangalia pia utagundua kuwa bei za 32,000 zinakuwa chahce na wengine wanalipa zaidi kiodogo japo bado ni nafuu sana ukilinganisha na precision na wengineo. Vinginevyo wasiwe wanapata abiria wa kutosha na wawekewe mizengwe na mafisadi. Ulaya kuna akina Ryan Air, Easyjet bei zao ni za kutupa lakini wanadunda kama kawa miaka nenda rudi sasa.
Hivi hatuna njia mbadala wa kuwawajibisha?Na wala hatuna mtu wa kutusemea, si Mamlaka ya Usafiri wa Anga wa Wizara, tunadanganywa na vyombo husika vimeuchuna.