Fastjet ni kero tupu!

Fastjet ni kero tupu!

Ukitaka kukosana na watanzania jali mda katika shughuli zako wengi watashindwa kuendana na mda maana sie tumezoea kupandia basi pale mataa na mbezi au maili moja sasa huku kwenye fastjet cjui tutapandia wapi.
labda ni moja ya strategies zao kutubadilisha mawazo yetu yaliyogandana miaka nenda miaka rudi sasa na wameanza na hilo kwa vitendo
 
upunguze kutumia mizani ya kichina. Na hyo ni ndege husifananishe na yale mabasi ya Ubungo yanayobeba mpaka kuku na bata kwenye boot.

nishapanda Air Tanzania, Precission, 540 na fastjet so najua kila kitu kaka najua kwamba mizigo haitakiwi kulipiwa unless imezidi 23kgs sawa? nahc wewe hata airport hujafika.maana cjui maswala ya mizani ya kichina yamekujaje unahtaj.maombezi
 
wewe inaonekana uwezo wako wa kufikiri ndo umeishia hapo,jitahidi usafiri kwenye nchi zenye mwanga kidogo ubongo utapata mwanga

,delay kwenye airline yoyote ni kitu cha kawaida,wabongo wengi tumelakla sana,amkeni mtembee kidogo

sio fair kumtusi mtu eti hajatembea....upuuzz
 
watu wengine wanavyopenda kuchelewa hadi wanatetea wachelewe kucheck in.Counter huwa inafungwa dk.40 kabla ya departure.Swali langu kwanini uchelewe na mwisho wa siku uwatwishe wengine mzigo wa lawama zako?Ikumbukwe kuwa counter ikiishafungwa hawa wanatakiwa waendelee na procedures nyingine za check up.Sasa ukientertain huu uchelewaji ,maana yake ndege itakua inachelewa kwa sababu tu ya wale wa lala salama.Je wale wanaowahi unakuwa umewatendea haki?Mambo mengine yanahitaji discipline tu.
 
Kuna rafiki yangu mmoja jana Mza kuja Dar kaambiwa alipie lotion iliyokuwa kwenye bag yake.
 
niliwahi shuhudia siku moja pale airport precision air wakitangaza kuchelewesha safari zaidi ya mara 10,kwasababu mbali mbali ikiwemo jamaa yuko kwenye foleni anakuja.na hapo abiria wako on board.toka saa tisa mpk saa 11 naondoka pale wao bado wapo.Rwandair wanafika wanapakia abiria kisha hao wanatambaa dk 10 nyingi.Kenya airways pia.PA walikua wameganda tu pale.nilicheka na kusikitika kwa pamoja
mleta mada nchi yako haina ndege hata moja ya kujivunia,bado umeletewa na wafadhili ndege ya bei chee unalalamika😱hwell:
 
Unalipa 32000 au hata 100,000,kwenda kurudi kj na unachelewa???nyie ndio wapuuzi wote 8,mshafanya hilo daladala.basi la mkoa lenyewe halisubiri abiria itakua ndege.nawapa sifa hao staff maana wangewaendekeza nyie itakuwa taabu mtataka hata kutumiwa gari nyumbani kuwachukua na buku 30 zenu nyambaf.
Babukijana sikiliza. Unapoenda kufanya biashara sehemu lazima uelewe tamaduni zao. Hakuna mtu aliyeenda kufanya biashara sehemu akafika na utamaduni wake wa kukopi na kupaste akafanikiwa. Kwanza nikujulishe mambo yafuatayo:
  1. Watanzania huwa hawafuati muda,
  2. Watanzania huwa wanakuwa discouraged na kauli mbaya
  3. Watanzania huwa hawapendi uwaone wao hawafai
  4. Watanzania hawapendi uwaoneshe wamekosea hata kama wamekosea
  5. Watanzania wapo tayari kutoa cha juu (premium) endapo tu utaonesha unawajali kama wateja na unawachukulia wanao uwezo wa kulipa)
  6. Watanzania wanapenda sana ile kuwa mteja mfalme n.k. mwingine anaweza kuongeza
Sasa kwa vipengele hivyo hapo juu, basi uelewe kuwa wewe kama mfanya biashara unatakiwa uwe makini haswa na kauli zako. Kama mteja kachelewa, si vibaya kumueleza ndugu mteja umechelewa, ndege imeshaondoka, lakini si kumkalipia na kumuona ni mjinga, huyo mtanzania yupo tayari kutokurudi tena kama mteja.
 
Mkuu moja one
jamani kaka yetu si aitaji matusi anaitaji kuelimishwa ..sisemi wana jf mna elimu ya matusi la hasha ila amjui anaetakiwa kufundwa na anaetakiwa tukunwa

mkuu jamii one pole kwa yanayoendelea hii ndio smart web nini maana yake
kama umesoma kwenye tkt hii ndege ni fast jet na chini yake wameandika smart jet
1..nirudi swala la kuchelewa hata dk moja..hili siko na wewe haata uingie kaburini..hii ndege pengine kukujulisha imeleta heshima na adabu k wa wapuuzi wanaochelewa kwenye ndege wakijua watampigia shirima ama mkurugenzi wa ....ili awafungulie ndege mwende zenu mwanza nakwingineko ...ukichelewa hii ndege soma sheria za tkt hiyo tkt sio yako tenaaaaaaa nenda hata mahakama kuu utajua nini maana ya smart jet

2..kuhusu bei
labda nikujulishe bahati nina ka idea cha ndege kidogo tu..hiii ni ndege ya bei rahisi ..ukiambiwa cheap airline sio kwamba seat zote utakuta 32,000 umeshajiuliza wakitumia hiyo bei viti vyote mafuta wanaweka na mkojo ama ya bp??si mbaya kukueleza ili ujue na sio hao wanakuja wengine wanaitwa newton jet ...ukisikia ndege ya bei rahisi ina faida yake na hasara yake ...kinachofanyika kwa kila ndege wanatenga siti kadha za 32,000 na hiyo nakuhakikishia iko kila ndege inayoondoka si chini ya 20..kama ulivyongangana ukichelewa dk moja kwa hili la 32 ulichleewa masaa mi nina tkt 12 siku ya tatu walipoanza kuuza za 32,000 familia inaenda mwanza nakurudi inaenda arusha na kurudi ....so kama ungekuwa msikivu wa cloudssss fm nahisi mwanzoni ungezipata usilalamike kwa hili ..sasa basi hao wa 102,000 ndio wanalipia gepu zetu tulionunua 32,000 wala usiwe na shaka vinginevyo mapilot watakufa njaa kaka

3..majibu yao
nahisi umepata bahati mbaya ila ukifika nje na kuwahi kuna mabinti wazuri wanakuingiza mpaka kwenye ndege..sasa incase ukichelewa hili ankuweka wazi wewe na marafiki zako na familia yako na ubani wooote kama umechelewa hiyo tkt katupe usiumize kichwa na madada wanaokupa moyo kajaribu sijui sehemu fulan mjini watakufikiria hao wanakuondoa airport usiwapunguzie hewa ya bure

karibu sana ukiwa na lolote zaidi pm
 
nishapanda Air Tanzania, Precission, 540 na fastjet so najua kila kitu kaka najua kwamba mizigo haitakiwi kulipiwa unless imezidi 23kgs sawa? nahc wewe hata airport hujafika.maana cjui maswala ya mizani ya kichina yamekujaje unahtaj.maombezi
tehe hehe he he he, yani "umevurugwa" kidogo tu povu limetoka ka la Family ditagent. Nikukumbushe Umesahau kutaja na Airuric...! Teh
 
Wengi wameishia kujinadi tu walivyopanda ndege...ila wameshindwa kumsaidia mleta mada!
Kikubwa tuzingatie muda, huwezi kulaumiwa kwa kuwahi..hivi kama ulifanikiwa kusubiriwa kwenye airline flani basi unataka iwe sheria..tubadilike bwana!
 
[TABLE="class: BasketItemsTable"]
[TR="class: BasketPaxCountRow"]
[TD="class: BasketPaxCountColumn1"]o of Adults:[/TD]
[TD="class: BasketPaxCountColumn2"] 1[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: BasketItineraryFlightDivider, colspan: 2"][/TD]
[/TR]
[TR="class: outboundFlight BasketItineraryItemRow"]
[TD="class: BasketItineraryItemColumn, colspan: 2"] Mwanza to Dar es Salaam (FN0164)[/TD]
[/TR]
[TR="class: BasketItineraryFlightRow"]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn1"] Departure:[/TD]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn2"] 01 Jan 17:15[/TD]
[/TR]
[TR="class: BasketItineraryFlightRow"]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn1"] Arrival Time:[/TD]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn2"] 01 Jan 18:45[/TD]
[/TR]
[TR="class: BasketItineraryFlightRow"]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn1"] Fare:[/TD]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn2"] 144,000 TZS[/TD]
[/TR]
[TR="class: BasketItineraryFlightRow"]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn1"] Taxes:[/TD]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn2"] 11,040 TZS[/TD]
[/TR]
[TR="class: BasketItineraryFlightRow"]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn1"] Total:[/TD]
[TD="class: BasketItineraryFlightColumn2"] 155,040 TZS[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: BasketItineraryFlightDivider, colspan: 2"][/TD]
[/TR]
[TR="class: BasketBaseFareTotalPriceRow"]
[TD="class: BasketBaseFareTotalPriceColumn1"] Total fares and taxes:[/TD]
[TD="class: BasketBaseFareTotalPriceColumn2"] 155,040 TZS[/TD]
[/TR]
[TR="class: BasketBaseFareTotalPriceRow"]
[TD="class: BasketBaseFareTotalPriceColumn1"] Total Baggage:[/TD]
[TD="class: BasketBaseFareTotalPriceColumn2"] 0 TZS[/TD]
[/TR]
[TR="class: BasketGrandTotalRow"]
[TD="class: BasketGrandTotalColumn1, colspan: 2"] [TABLE="class: BasketGrandTotalTab"]
[TR]
[TD="class: BasketGrandTotalCaption"] Total payable:[/TD]
[TD="class: BasketGrandTotalPrice"] 155,040 TZS



[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[/TR]
[TR="class: BasketCommandRow"]
[/TR]
[/TABLE]
soma hapa chini
http://booking.fastjet.com/VARS/Public/FlightSelect.aspx
 
Babukijana sikiliza. Unapoenda kufanya biashara sehemu lazima uelewe tamaduni zao. Hakuna mtu aliyeenda kufanya biashara sehemu akafika na utamaduni wake wa kukopi na kupaste akafanikiwa. Kwanza nikujulishe mambo yafuatayo:
  1. Watanzania huwa hawafuati muda,
  2. Watanzania huwa wanakuwa discouraged na kauli mbaya
  3. Watanzania huwa hawapendi uwaone wao hawafai
  4. Watanzania hawapendi uwaoneshe wamekosea hata kama wamekosea
  5. Watanzania wapo tayari kutoa cha juu (premium) endapo tu utaonesha unawajali kama wateja na unawachukulia wanao uwezo wa kulipa)
  6. Watanzania wanapenda sana ile kuwa mteja mfalme n.k. mwingine anaweza kuongeza
Sasa kwa vipengele hivyo hapo juu, basi uelewe kuwa wewe kama mfanya biashara unatakiwa uwe makini haswa na kauli zako. Kama mteja kachelewa, si vibaya kumueleza ndugu mteja umechelewa, ndege imeshaondoka, lakini si kumkalipia na kumuona ni mjinga, huyo mtanzania yupo tayari kutokurudi tena kama mteja.
sasa ukiwaendekeza sijui tutafikia wapi,inachotakiwa wafanyiwe kinyume yote hayo uliyoandika hapo ili wajifunze.ndio maana tunakuwwa nyuma sana huu muungano wa E.A.tutabakia kushika mkia.wakenya hao washatujua udhaifu wetu basi sasa wanacheza na vichwa vyetu tu,ndio maana wanatuchukulia ajira kila siku hapo bongo.mbongo utaendelea kuchelewa ukidai ni utamaduni wako,mkenya anaingia kazini on-time na anapiga kazi inavyotakiwa huku wewe umechelewa,mara uende ukapate supu,mara umeenda lunch masaa mawili na kuteremshia na kabia.ikikaribia time ya kutoka wakwanza ww kwenda kwenu.hapo hata mie nakumwaga.
 
sasa ukiwaendekeza sijui tutafikia wapi,inachotakiwa wafanyiwe kinyume yote hayo uliyoandika hapo ili wajifunze.ndio maana tunakuwwa nyuma sana huu muungano wa E.A.tutabakia kushika mkia.wakenya hao washatujua udhaifu wetu basi sasa wanacheza na vichwa vyetu tu,ndio maana wanatuchukulia ajira kila siku hapo bongo.mbongo utaendelea kuchelewa ukidai ni utamaduni wako,mkenya anaingia kazini on-time na anapiga kazi inavyotakiwa huku wewe umechelewa,mara uende ukapate supu,mara umeenda lunch masaa mawili na kuteremshia na kabia.ikikaribia time ya kutoka wakwanza ww kwenda kwenu.hapo hata mie nakumwaga.
Ila wakenya kwao wanashida sana. Tena wanamatatizo makubwa sana. Sisi watanzania ni matajiri sana. Ila cha kujifunza toka kwa wakenya tu ni kuwa hiyo neema tuliyonayo siku moja itakuja kuisha na kupotea. Mimi kama ningekuwa mwajiri basi ningependelea kuajili watanzania tu. Wakenya ni wakatili sana, tena wanapokuwa viongozi kwenye kampuni hawawezi fanya kazi na watanzania kwa sababu ya kutofautiana tamaduni. Kama ukikumbuka Barclays walikuja na mbwembwe za kuajili managers toka Kenya, ila most of the section zilizokuwa zinaongozwa na wakenya zilikufa! Hilo ni la kujifunza. Mtanzania anapenda kuwekewa taratibu za kazi na onesha kuwa anamchango na hakikisha unamlipa vizuri, basi kazi yake ataiheshimu sana na kuifanya kwa ustadi.
 
Mkuu rogie
pole kw akulipishwa hiyo lotion..labda amekulalamikia bila kukujulisha kwa nini amelipishwa
1..ukipita viwanja vya ndege ukizidisha ml 100 hiyo ni mali ya taa yaani kiwanja cha ndege ..kama ukipita kwenye geti kuna madumu marefu yanahifadhi viberiti na silaha ndogo ndogo na lotion kama hizi sasa basi kilichofanyika kwa jamaa yako aliambiwa awezi kupita nayo inazaidi ya mls 100 soln yake ni kwenda kuicheck in...kabla ujanunua tkt soma masharti yako wazi pale mezani kwao kila unacho check in ni alfu nane aijalishi bahasha ..kiatu kimoja ili hali kimechekiwa in na umepewa tag over..
 
Hiyo ya kutangaza tshs 32,000/= bila kutaja hidden costs ni yale yale ya kina vodacom kusema ni tshs 1 kwa sekunde, na masharti na vigezo kuzingatiwa. Hapo ikichajiwa kodi na sijui dk ya kwanza ina masharti yake ndo wanapokuvuna. Seriously unategemea usafiri kwa tshs 32,000/= kama ndege haitumii mafuta jamani!

Hapo kwenye bold ndipo shida ilipo. Vigezo na masharti huwa havitangazwi na hao wenye biashara zao hadi uwe umenunua tiketi ama kama ni simu uwe ushajiunga na hiyo huduma. Vigezo na masharti ya Fastjet ni pamoja na muda wa kukata tiketi. Ukikata ya kusafiri leo ama kesho ama wiki hii hii gharama ziko juu, kuliko ukinunua tiketi ya kusafiri mwezi ujao. Hata hivyo hoja ya uchelewevu ya mleta mada bado ina mantiki. Alichelewa kuripoti na anawarushia lawama FJ, hio sio haki.
 
Habari zenu wanajamvi,

Kuna baadhi ya mambo yananichanganya kuhusu hawa fastJet,

1.Bei zao wanazotutangazia hazina ukweli wowote na hazikaribiani na ukweli,
Mfano leo kwenye website yako wamatutangazia ndege yao ya kwanza kutoka Dar kwenda KIA ni tsh32,000 ,nimepiga simu wanasema ni Tsh107000=.

2.Ukichelewa hata dakika moja baada ya reporting time hawakujui,kwani wameshachukua chao,wanakunyima safari.Hii imemtokea jamaa yangu mmoja leo jioni,walikuwa zaidi ya abiria 8 lakini hawakuwasikiliza zaidi ya kuwapa majibu ya kukatisha tamaa na kejeli,

3.majibu yao kwa ujumla wanaonekana kama abiria wanaopanda hiyo ndege wanapanda bure,au ni kama msaada flani,hawamthamini abiria kabisa,


4.Watanzania wenzangu tunaofanya hapo fastjet na wateja ebu jaribuni kuipa thamani pesa yetu ilingane na huduma tunayopewa na tunayotoa kwa wateja,hatuhitaji msaada wenu,

Mwenye kero kama zangu tiririka hapa
Mkuu unataka ndege ikusubili? Kweli Watanzania tuna kazi na unakuja JF kulalamika eti ndege haijakusubili! Shame on you. Alafu jifunze kununua ticket kwenye mtandao moja kwa moja bila kupiga simu. Jana nimebook ndege kwenda Mwanza na kurudi Dar ya mwezi wa tatu. Nimelipa Tsh 86,000 ikiwa na mzigo wa kilo 20 kwa Tsh 8,000.
 
tehe hehe he he he, yani "umevurugwa" kidogo tu povu limetoka ka la family ditagent. Nikukumbushe umesahau kutaja na airuric...! Teh

dresson
hata wew eumedesa atc/540 ilikuwa 20 kgs na sio 23kgs lingine
 
Back
Top Bottom