Fastjet PLC inatarajia kuuza hisa zake katika shirika la Fastjet Tanzania

Fastjet PLC inatarajia kuuza hisa zake katika shirika la Fastjet Tanzania

Habari wadau!

Katika hali ya kuhuzunisha na kuondoa hali ya ushindani nchini wa usafiri wa anga. Shirika la ndege la fast jet limeanza kufunga virago Tanzania kwa mazingira magumu ya uwekezaji na serikali kuwanyima vibali vya baadhi ya rout na kuwanyima kibali cha kuingiza ndege mpya nchini.

Mkurugenzi wa shirika hilo kathibitisha kufunga virago kwa kushindwa kuwa na mazingira rafiki ya uwekezaji na kutotoa uwanja mpana wa ushindani
very common....
 
Kama Fastjet wameshindwa kuchuma toka walipoingia nchini mwaka 2012, hawatokaa tena wapate nafasi ya kuchuma from now onwards, so ni vyema wakaja kivingine. Sio lazima wafanye biashara ya ndege iwapo mazingira sio rafiki. Wanaweza hata kufanya biashara ya merchant ships...
Biashara kufa si jambo geni wala jambo la ajabu au hata kubadilisha aina ya biashara au huduma unayotoa si jambo la ajabu ktk ulimwengu huu, ISSUE HAPA NI KWA NINI BIASHARA HIYO INAKUFA/IMEKUFA AU KWA NINI UNABADILI AINA YA BIASHARA AU HUDUMA UNAYOTOA?

Maana kama issue iko kama habari hii ilivyoletwa hapa ni kwamba hata uwekezaji mpya wa sekta binafsi ktk usafiri wa anga utakua mgumu just imagine hivi kama shirika la TTCL ndio wangekua pekee wanatoa huduma ya mawasiliano na data humu ndani hali ingekuaje? Unadhani ni sahihi kurudi kwenye monopoly ya shirika moja la ndege linalotoa huduma humu ndani? Hili ni tatizo.
 
Hawa hata wakibaki wenyewe wataishia kushindwa tu.

Sasa tunakwenda kukosa hata hiyo kodi waliokuwa wanalipa serikalini, hela (charges) walizokuwa wanalipa TAA na TCAA,n.k na pia watu wanakwenda kupoteza ajira na hivyo PAYE ya staff wao nayo tunaikosa pia.
jiwe na washauri wake kina lemutuz hawaelewi
 
It is not science rocket to know that 'CHARITY BEGINS AT HOME" JAPOKUWA UNATIMIZA WAJIBU WA CONTRACT YAKO, LAKINI KUNA KAZI NYINGI NI AIBU KUFANYA, HASA ZA KUWADI
Mtatetea hadi vinyesi msimu huu , kazi ya kutetea awamu ya 5 itakutoa kibyongo mjomba , hii awamu haiteteeki hata kama mnalipwa , Wajinga wakubwa nyie !
 
Nan kasema wanafungasha? Waliojitoa ni fastjet PLC wameshachukua embrer zao na moja iko
Mbion kuondoka lakin fastjet chin ya Masha watatumia ndege za kukodi na shirika litaendelea kuwepo. Kwa sasa fastjet wana hiyo moja inayopiga route za mbeya mwanza na Kia.
Masha alikua south kusain mkataba na SA watapewa ndege na ila ya zaman iliokua inatumiwa na fastjet ya kukodi itarejea
fastjet wamenyimwa route za Mtwara Bukoba Tabora na Kigoma na walishajiandaa na ndege ndogo
Tatizo la Tanzania wahusika hawajui biashara ya anga ina hitaji competition ili kusiwe na monopoly naona Wamewanyima kibali wakidhan Atc ingepata hasira.
Hizo ni news za chini ya carpet.
Biashara bila ushindani ni makosa kisheria
[emoji15]
 
Kwa taarifa yako Fastjet walikuwa wababaishaji ila basi tu tulikuwa hatunajinsi ya kufanya kwa kuwa walikuwa hawana mshindani na nilishawaambie likija shirika la ndege jingine wajitayarishe kwa maumivu. Angalia Server zao ziko UK na hakuna admin TZ baada ya kuona sasa wanabanwa na sheria ya .co.tz wamekimbilia Msumbiji lakini wanajifanya wako TZ ofisi zao za TZ hazina maamuzi kabisa just operators.
unawatia aibu wazazi wako bure tu !
 
Hivi haya maoni ya wadau serikali haifanyii kazi?!
 
huyu anaakili sana ,ila wewe kwa chuki zako binfsi unataka maneno yako ya kijinga,na tatizo malezi yako ya upande mmoja ,wana wafanyakazi wa ngapi?nauli yao kubwa,bado unatetea wa bush anakukwamua wewe bila wewe kujua,mtafute aliyekulaani akusamehe.
Wa bush anasumbua mjini
 
Habari wadau!

Katika hali ya kuhuzunisha na kuondoa hali ya ushindani nchini wa usafiri wa anga. Shirika la ndege la fast jet limeanza kufunga virago Tanzania kwa mazingira magumu ya uwekezaji na serikali kuwanyima vibali vya baadhi ya rout na kuwanyima kibali cha kuingiza ndege mpya nchini.

Mkurugenzi wa shirika hilo kathibitisha kufunga virago kwa kushindwa kuwa na mazingira rafiki ya uwekezaji na kutotoa uwanja mpana wa ushindani
Hatua hii ya kuinyima baadhi ya routes Fast Jet, ni sehemu ya mapendekezo haya
Je, ATCL inahujumiwa kibiashara? Tutumie a political will kuinusuru au tuiache iangamizwe na ushindani? - JamiiForums
P
 
Lengo la ununuzi wa hayo mabomberdia na dreamliner lilikuwa kupata sifa sio biashara.
Kama serikali ikiamua wananchi wasafiri bure kwenye ndege hizi awamu ya 5 itapata sifa zaidi kuliko awamu zote. Tena mikoa yote hizi ndege zitakokwenda watakuwa wanaimba ngoma na nyimbo zakumsifu na kumuabudu kila siku!
 
Nan kasema wanafungasha? Waliojitoa ni fastjet PLC wameshachukua embrer zao na moja iko
Mbion kuondoka lakin fastjet chin ya Masha watatumia ndege za kukodi na shirika litaendelea kuwepo. Kwa sasa fastjet wana hiyo moja inayopiga route za mbeya mwanza na Kia.
Masha alikua south kusain mkataba na SA watapewa ndege na ila ya zaman iliokua inatumiwa na fastjet ya kukodi itarejea
fastjet wamenyimwa route za Mtwara Bukoba Tabora na Kigoma na walishajiandaa na ndege ndogo
Tatizo la Tanzania wahusika hawajui biashara ya anga ina hitaji competition ili kusiwe na monopoly naona Wamewanyima kibali wakidhan Atc ingepata hasira.
Hizo ni news za chini ya carpet.
Biashara bila ushindani ni makosa kisheria
Je, ATCL inahujumiwa kibiashara? Tutumie a political will kuinusuru au tuiache iangamizwe na ushindani? - JamiiForums
 
Naona serikali inaanda mazingira ya ndege inayokuja.

Katika hali ya kuhuzunisha na kuondoa hali ya ushindani nchini wa usafiri wa anga. Shirika la ndege la fast jet limeanza kufunga virago Tanzania kwa mazingira magumu ya uwekezaji na serikali kuwanyima vibali vya baadhi ya rout na kuwanyima kibali cha kuingiza ndege mpya nchini.

Mkurugenzi wa shirika hilo kathibitisha kufunga virago kwa kushindwa kuwa na mazingira rafiki ya uwekezaji na kutotoa uwanja mpana wa ushindani[/QUOTE]
 
Habari wadau!

Katika hali ya kuhuzunisha na kuondoa hali ya ushindani nchini wa usafiri wa anga. Shirika la ndege la fast jet limeanza kufunga virago Tanzania kwa mazingira magumu ya uwekezaji na serikali kuwanyima vibali vya baadhi ya rout na kuwanyima kibali cha kuingiza ndege mpya nchini.

Mkurugenzi wa shirika hilo kathibitisha kufunga virago kwa kushindwa kuwa na mazingira rafiki ya uwekezaji na kutotoa uwanja mpana wa ushindani
Mkuu Dosama, asante kwa taarifa hii, angalia tarehe ya bandiko hili
ATC Sasa Yaanza Kuleta Heshima ya Nchi, Yapunguza Tanzania Kufanywa Shamba la Bibi, FastJet Yapumulia Mashine, Soon Itafungasha Virago!. - JamiiForums
P
 
Mimi naona waende zao huko,tuna ndege zetu tunaweza kabisa,tena mimi naona hata kwenye vivutio vya utalii tungetumia kubeba watalii kwa charter zetu make huko ndo kuna pesa za kigeni haswa
 
Ukiwa mjinga ni mjinga tu,mfano Ethiopia airline, Kenya airline, hawa waweze ila sisi tushindwe,ni upuuzi uliopitiliza,magu huko Sawa ila sisi wehu wa humu jf tunaponda tumechoka kusifia vya jirani,nilikua nikienda Kenya nakutana na fryover saizi wala sishangai treni ya umeme IPO,ndege zipo sasa naomba mungu asinichukue mapema mpaka nione tunavyolusha chombo mwezini,ni nyie mlietuambia lugemalila na mhindi wake wa pap hawakamatiki Leo,mnakodoa macho bira majibu.
Kweli kabisa aisee kazi ya kusifia jiwe kila uchao huku wengi wetu tukishindwa kumkosoa tunapokuwa na uhakika kuwa anastahili kukosolewa ni unafiki kama si ulimbukeni uliokithiri. Hakuna mbeleko ya kuibeba ATCL kimataifa!
 
Habari wadau!

Katika hali ya kuhuzunisha na kuondoa hali ya ushindani nchini wa usafiri wa anga. Shirika la ndege la fast jet limeanza kufunga virago Tanzania kwa mazingira magumu ya uwekezaji na serikali kuwanyima vibali vya baadhi ya rout na kuwanyima kibali cha kuingiza ndege mpya nchini.

Mkurugenzi wa shirika hilo kathibitisha kufunga virago kwa kushindwa kuwa na mazingira rafiki ya uwekezaji na kutotoa uwanja mpana wa ushindani
Sababu siyo ugumu wa uwekezaji Tanzania! Sababu ni kwamba washirika wao wa ulaya wamejitoa hivyo mtaji wa walobaki Fastjet umekuwa mdogo kuendesha shughuli hapa Tanzania baada ya kuibuka shirika letu.
 
Back
Top Bottom